Hudební video
Nejlepší skladby od interpreta Masile
Podobné skladby
Texty
Welcome
Aaaaaaaahhhhhhhhhhh
Kadogodogo
Kazurizuri katoto kamoto toh
Kananipaga tuchizi nachanganyiwa masotojo motomoto
Tunakeshaga popo nikiwa nae mixer na misokoto to toh
Ntakapeleka koko kula mihogo na kaupepo ka koko koh
Me nyota wake mchana usiku
Anawakawaka muone anavyong'ara
Me nyota wake mchana usiku
Anawakawaka muone anavyong'ara
Hata kesho we special
Rngaringa kwa madeko
Umenikaa nice aise
I thanks God Lord of mercy
Aaa jiachie jimalizee
Ukiwa na mi sinyorita
Kama ukitaka nikuimbie
Nitakupigia na guitar
Sikupi nusu ni lita
Ujilambe kabisa
We ni taa kwenye kiza
Na unanimaliza
Me nyota wake mchana usiku
Iyeeee yee yeeeeeh
Anawakawaka muone anavyong'ara
Iyeeeee yee yeeeeh
Me nyota wake mchana usiku
Iyeeee yee yeeeeeh
Anawakawaka muone anavyong'ara
Iyeeeee yee yeeeeh
Vimacho vyakudanganya danganya
Kisura chenye mvuto toh
Kana motion motion
Body lakupigia photo
Hana shobo na mabangaroo
Anatimbaga tu geto
Amezimika nami baby
Anazifuata na protocol
Ananita dady anataka love love
Namwita sweet mi nataka love love
You are the only one for me
Zawadi kubwa nimepata
They'll never understand
Umenifanya nang'ara
Aaa jiachie jimalizee
Ukiwa na mi sinyorita
Kama ukitaka nikuimbie
Nitakupigia na guitar
Sikupi nusu ni lita
Ujilambe kabisa
We ni taa kwenye kiza
Na unanimaliza
Me nyota wake mchana usiku
Iyeeee yee yeeeeeh
Anawakawaka muone anavyong'ara
Iyeeeee yee yeeeeh
Me nyota wake mchana usiku
Iyeeee yee yeeeeeh
Inawakawaka muone anavyong'ara
Iyeeeee yee yeeeeh
Aaa jiachie jimalizee
Ukiwa na mi sinyorita
Kama ukitaka nikuimbie
Nitakupigia na guitar
You are the only one for me
Zawadi kubwa nimepata aaah
Iyeeeee
Aaah iyeeeeee
Iyeeeee
Aaah iyeeeeee
Iyeeeee aaaahhhhhhhh
Aaah iyeeeeee
Iyeeeee
Aaah iyeeeeee
Aaaaaaaaaaaaahhhhhh
Iyeeeee
Aaah iyeeeeee
Iyeeeee
Aaah iyeeeeee
Iyeeeee aaaahhhhhhhh
Aaah iyeeeeee
Iyeeeee
Aaah iyeeeeee
Writer(s): Lucas Masile
Lyrics powered by www.musixmatch.com