Texty
[Intro]
Ohoo, ohoo ohoo, ohoo
Ohoo, ohoo ohoo, ohoo
[Chorus]
Eeh Bwana usikie kuomba kwangu
Kilio changu kikufikie
Usifiche uso wako siku ya shida yangu
Eeh Bwana usikie kuomba kwangu
[Verse 1]
Mungu ee ee, ee, ee
Ee, ee, ee, ee
Machozi yangu yamekua chakula
Changu cha kila siku
Nishike mkono baba naangamia
Yeesu Yeesu
Nishike mkono baba, nishike mkono baba
[Verse 2]
Koo yangu inauzuni nyinyi
Niponye, niponye, niponye
Wajawa roho yangu ni wewe pekee
Mwokozi wa roho yang ni wewe Yesu
Usiniache baba niangamiee
Ohoo, ohoo baba niokoe eeh
Kuna majiraa eeh
[Chorus]
Eeh Bwana usikie kuomba kwangu
Kilio changu kikufikie
Usifiche uso wako siku ya shida yangu
Eeh Bwana usikie kuomba kwangu
[Verse 3]
Msaada wangu wa karibu ni wee
Msaada wangu wa karibu ni wee
Yesuu usikae mbali, Yesuu usikae mbali
Nikikuita usikie sauti nikikuita uitike
Ooh, ooh, ooh, ooh
[Verse 4]
Nimekua kama ndege mkiwa niliyepenya
Peke yangu juu ya nyumba, wee Baba, Baba
Moyo wangu umepigwa kama majani na kukauka
Ooh baba wee nisikiee Baba wee
[Chorus]
Eeh Bwana usikie kuomba kwangu
Kilio changu kikufikie
Usifiche uso wako siku ya shida yangu
Eeh Bwana usikie kuomba kwangu
Written by: Christina Shusho