Texty
Nani kaona yale mambo
Mungu Baba kanitendea
Kanifanya niimbe
Mbele ya adui nivimbe
Niko sure na huyu mzee
Kanitendea
Amesema yuko nami wala siogopi
Maana he is on my side
Baraka zake ni kwa wingi ninamuamini
Ni mtetezi wangu Permanent
Baba kasema nisihofu
yuko nami tena nisifadhaike
Mkataba wa baraka
Ni Permanent
Tumefunga naye mkataba
Baraka sisi Mungu anatupaga
Ulinzi wake tu unatoshaga
Haki zetu anapiganiaga
Oooh hatutanyang\'anywa tena
Nimeshikika kwake
Sitachomoka kwake
Nipo Permanent
Baba kasema nisihofu
yuko nami tena nisifadhaike
Mkataba wa baraka
Ni Permanent
Written by: Neema Gospel Choir