Texty
Ee bwana wangu nichunguze Mimi
Mama wajua kuketi kwangu
Umenijua kutokea mbali
Ume pepeta kutembea kwangu
Ee bwana wangu nichunguze Mimi
Mama wajua kuketi kwangu
Umenijua kutokea mbali
Ume pepeta kutembea kwangu
Nipate kujua siku ya kujiliwa
Unijulishe wale utakao
Wajilia kwa ajili yako
Kwenye uwanja wa vita
Walipo chacha wata
Sononeka watakimbia
Huku na Kule
Hakika wakisema huku
Tumechelewa
Nakupa shauri Leo
Rekebisha mambo yako
Kabla hatari ijakuja
Yesu aliye inuliwa
Pale msalabani juu
Wewe upate kupona
Nakupa shauri Leo
Rekebisha mambo yako
Sasa itakuwa aje akija
Yesu aliye inuliwa pale
Msalabani juu we we
Upate kupona
Itakuwa aje akija
Akija mwana wa Adam
Yule na jeshi la malaika
Kuhukumu dunia
Mbingu itaondolewa
Mbingu itakunjwa
Mwezi utatoweka
Jua litatiwa Giza
Itakuwa heka heka
Wengine watakimbia
Chini ya miamba
Ili wapate kujifisha
Wachawi nao
Watakuwa kielelezo
Machoni pa dunia
Written by: Rose Muhando