Songtexte

Halelulaya, ooh, ooh Huyu Yesu si sanamu Si mwanadamu, adanganye Ahadi zake zote kweli Na amina nimemwona Akisema ndio, hakuna wa kumpinga Akikubariki, hakuna wakunyang'anya Akikuahidi, kwa wakati atimiza Anavyokuita, ndivyo ulivyo Huyu Yesu, huyu Yesu Si hadithi, mwambie (mwambie) Huyu Yesu, huyu Yesu Si hadithi, mwambie Unatangaziwa nini? Umetabiriwa nini? Maishani mwako, mwambie Unaumizwa na nini? Je unahofu gani? Maishani mwako, mwambie Akisema ndio, hakuna wa kumpinga Akikubariki, hakuna wakunyang'anya Akikuahidi, kwa wakati atimiza Anavyokuita, ndivyo ulivyo Huyu Yesu, huyu Yesu (huyu Yesu) Si hadithi, mwambie Huyu Yesu, huyu Yesu Si hadithi, mwambie Huyu Yesu, huyu Yesu Si hadithi, mwambie Huyu Yesu, huyu Yesu Si hadithi, mwambie Huyu Yesu, huyu Yesu Si hadithi, mwambie Huyu Yesu, huyu Yesu Si hadithi, mwambie Huyu Yesu, huyu Yesu Si hadithi, mwambie (mwambie) Huyu Yesu, huyu Yesu Si hadithi, mwambie
Writer(s): Mercy Masika Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out