album cover
Sikutegemea
album cover
Sikutegemea wurde am 6. August 2018 von SMG FAMILY als Teil des Albums Sikutegemea - Single veröffentlicht
Veröffentlicht6. August 2018
LabelSMG FAMILY
SpracheEnglish
BPM106
Melodizität
Akustizität
Valence
Tanzbarkeit
Energie

Songtexte

sikutegemea kama ningefika apa mimi
sikutegemea ila ni Mungu tu
sikutegemea kama ningefika apa mimi
sikutegemea ila ni Mungu tu
ooooooh nasema
sikutegemea Mungu wangu mimi
kama ningefika apa mimi
amenisupriseee
sikutegemea Mungu wangu mimi
ila ni Mungu tu
ooooooh nasemaaa
walitabiri kuwa mimi ntakufa masikini
lakini munguu si mwanadamu
wakaweka maagano
kuwa mimi nitakufa masikini
lakini mungu si mwananadamu
nakiri ushindi ni wangu
na mungu ni silaha yangu
amenibariki
amenisuprise
walisema niende kwa mganga tatizo ni nyota
ila mungu wangu ni mkuu
oooh naseeemaaa
sikutegemea mungu wangu mimi
kama ningefika apa mimi
amenisuprise
sikutegemea ila ni Mungu tu
oooh naseeemaaa
sikutegemea oooh mungu wangu mimi
kama ningefika apa mimi
sikutegemea kumbe ninastahiri
ila ni Mungu tu oooh naseeemaaa
sikutegemea oooh Mungu wangu mimi
kama ningefika apa mimi
amenisupriseee
sikutegemea Mungu wangu mimi
ila ni Mungu tu
ooooooh nasemaaa
haaaapo mwanzo nilichekwa saana
nikalia saana
nikaitwa tasaa
haya maneno ya binadamu
nilikosa kazi
nikakosa mali
masikini mimi nikatengwa na wanadamu
madeni na mimi
mikosi na mimi
kudharauliwa mimi
nilimwachia mungu
madeni na mimi
mikosi na mimi
kudharauliwa mimi
nilimwachia mungu ila leo
sikutegemea kama ningefika apa mimi
nilikuwa masikini
sikutegemea ila ni Mungu tu
nilikuwa sina mali
sikutegemea sina hali
kama ningefika apa mimi
mtu wa chini
sikutegemea ili mungu wangu ila ni Mungu tu
amenisupriseee mungu
sikutegemea
amenisupriseee
kama (weee) ningefika apa mimi
amenisupriseee
sikutegemea
amenisupriseee ila ni Mungu tu
amenisupriseee mungu x 12
SMG FAMILY (C)2023
Written by: Paulo Mwasile

Loading...