Συντελεστές
PERFORMING ARTISTS
Ddc Mlimani Park Orchestra Mlimani Orchestra
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ddc Mlimani Park Orchestra Mlimani Orchestra
Songwriter
Στίχοι
Rafiki zangu nifahamisheni
Natapa wazimu, juu ya mapenzi
Mawazo yamenizidi sijui nifanye nini!
Kila hila nimefanya moyo upate tuliya
Mapenzi yanipa wazimu mwenzenu ninateseka (mama)
Rafiki zangu nifahamisheni
Natapa wazimu, juu ya mapenzi
Mawazo yamenizidi sijui nifanye nini!
Kila hila nimefanya moyo upate tuliya
Mapenzi yanipa wazimu mwenzenu ninateseka
Kweli tulipendana
Kwa mapenzi ya ukweli
Kwa maisha yetu sote tulielewana sana
Mpenzi hakuniaga
Jioni kanikimbia
Namtafuta mpenzi kwa vyo vyote
Mpaka nimuone eeeh
Kweli tulipendana
Kwa mapenzi ya ukweli
Kwa maisha yetu sote tulielewana sana
Huko uliko kwenda
Nauli nitatafuta (dada dar niende)
Kama nitaanza hata moshi, ujue nitafika mpenzi wangu
Kweli tulipendana
Kwa mapenzi ya ukweli
Kwa maisha yetu sote tulielewana sana
Mpenzi hakuniaga
Jioni kanikimbia
Namtafuta mpenzi kwa vyo vyote
Mpaka nimuone jamani-eh!
Kweli tulipendana
Kwa mapenzi ya ukweli
Kwa maisha yetu sote tulielewana sana
Huko uliko kwenda
Nauli nitatafuta (mama-mama-ma)
Kama ni Mbeya hata Tukuyu, ujue nitafika mpenzi wangu we
Kweli tulipendana
Kwa mapenzi ya ukweli
Kwa maisha yetu sote tulielewana sana
Chunja eee! (eee?)
Unasikia? (Nasikia)
Asante Sanaa!
Msondo Ngoma
Nitakutafuta mpaka nikuone dada
Asante
Written by: ISSAI IBUNGU