Credits
PERFORMING ARTISTS
Chandelier De Gloire RDC
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mukulumanya Pascal
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Kuna yule aliyenipenda si kwa ajili ya mali
Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu
Akanionyesha upendo ambao sijaona kwa wengine
Huyu halali wala hasizinzii hata leo hajawai kunichoka eeh
[Verse 2]
Kuna yule aliyenipenda si kwa ajili ya mali
Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu
Akanionyesha upendo ambao sijaona kwa wengine
Huyu halali wala hasizinzii hata leo hajawai kunichoka
[Verse 3]
Kuna yule aliyenipenda si kwa ajili ya mali
Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu
Akanionyesha upendo ambao sijaona kwa wengine
Huyu halali wala hasizinzii hata leo hajawai kunichoka
[Verse 4]
Sikutafuta ni yeye alikuja kwangu
Ningawazaje makosa yangu Yesu alinipenda wa kwanza
Nikamwamini yeye kanisamehe dhambi
Upendo wake Yesu wanishangaza
[Verse 5]
Sikutafuta ni yeye alikuja kwangu
Ningawazaje makosa yangu Yesu alinipenda wa kwanza
Nikamwamini yeye kanisamehe dhambi
Upendo wake Yesu wanishangaza
[Chorus]
Yesu huyu Yesu rafiki mwema
Yesu huyu Yesu ninakupenda
Yesu huyu Yesu rafiki mwema
Yesu huyu Yesu ninakupenda
[Refrain]
Yesu kristo Bwana wangu ni rafiki mwema
Yesu kristo Bwana wangu ni rafiki mwema
Yesu kristo Bwana wangu ni rafiki mwema
[Refrain]
Yesu Kristo Bwana wangu ni rafiki mwema
Yesu Kristo Bwana wangu ni rafiki mwema
Yesu Kristo Bwana wangu ni rafiki mwema
[Chorus]
Yesu huyu Yesu rafiki mwema
Yesu huyu Yesu ninakupenda
Yesu huyu Yesu rafiki mwema
Yesu huyu Yesu ninakupenda
[Outro]
Yesu huyu Yesu rafiki mwema
Yesu huyu Yesu ninakupenda
Yesu huyu Yesu rafiki mwema
Yesu huyu Yesu ninakupenda
Written by: Mukulumanya Pascal