Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Msanii Music Group
Choir
COMPOSITION & LYRICS
Joash Nyamongo Ongechi
Songwriter
Msanii Music Group
Arranger
PRODUCTION & ENGINEERING
Msanii Music Group
Producer
Lyrics
UPENDO
Nashukuru Mungu, kwa upendo wake
Anao nionyesha mimi
Kaacha yote juu, akashuka chini
Kunirudisha mimi klwake
Nashukuru Mungu, kwa upendo wake
Anao nionyesha mimi
Kaacha yote juu, akashuka chini
Kunirudisha mimi klwake
(Chorus)
Upendo,
(Male)-Upendo
Ananipenda
(Male)-Ananipenda
Ijapo mi mnyonge na mwenye dhambi tele
Ninajua Ananipenda
Upendo,
(Male)-Upendo
Ananipenda
(Male)-Ananipenda
Ijapo mi mnyonge na mwenye dhambi tele
Ninajua ananipenda
Asipokuwepo, sina raha Kamwe
Ni rafiki wangu yangu mno
Nitangapo mbali
Ye hunirudisha kifuani napumzika
Asipokuwepo, sina raha Kamwe
Ni rafiki wangu mkuu mno
Nitangapo mbali
Ye hunirudisha kifuani napumzika
(Chorus)
Upendo,
(Male)-Upendo
Ananipenda
(Male)-Ananipenda
Ijapo mi mnyonge na mwenye dhambi tele
Ninajua Ananipenda
Upendo,
(Male)-Upendo
Ananipenda
(Male)-Ananipenda
Ijapo mi mnyonge na mwenye dhambi tele
Ninajua Ananipenda
Bado anipenda, japo nimekosa
Bwana yesu Ananipenda
Mengine sijui ila neno hili
Bwana yesu ananipenda
Bado anipenda, japo nimekosa
Bwana yesu Ananipenda
Mengine sijui ila neno hili
Bwana yesu Ananipenda
(Chorus)
Upendo,
(Male)-Upendo
Ananipenda
(Male)-Ananipenda
Ijapo mi mnyonge na mwenye dhambi tele
Ninajua Ananipenda
Upendo,
(Male)-Upendo
Ananipenda
(Male)-Ananipenda
Ijapo mi mnyonge na mwenye dhambi tele
Ninajua Ananipenda
(Chorus)
Upendo,
(Male)-Upendo
Ananipenda
(Male)-Ananipenda
Ijapo mi mnyonge na mwenye dhambi tele
Ninajua Ananipenda
Upendo,
(Male)-Upendo
Ananipenda
(Male)-Ananipenda
Ijapo mi mnyonge na mwenye dhambi tele
Ninajua Ananipenda
Written by: Joash Nyamongo Ongechi


