Credits
PERFORMING ARTISTS
Jay C Yrn
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Japhari Charles Sanga
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizen Maker
Producer
Lyrics
Uuuuh Aaaah Aaaah
(Lizen)
Aaaah Aaaah Aaah Aaaaaah
Yeah Yeah Aaah Aaah
Rotate
Rote rote malavi kama yote
Usikonde usikonde miwako kama yote
Rote rote malavi kama yote
Usikonde usikonde miwako kama yote
Rote rote malavi kama yote
Usikonde usikonde miwako kama yote
Rote rote malavi kama yote
Usikonde usikonde miwako kama yote
Sihofii niko nae (pew pew)
I got love that she need
Mama bless got a love wallah, simuoni mwingine
Tamu sukari nimekubali yeye, nimuhonge kagari kanikubali yeye
Siwezi kujali wala subiri yeye, nimvishe na karing nimuweke ndani yeye
Twende wote siku zote maana ushaniroga siwaoni wote madanga
Nitamtetea nitamtetea yeeh, Sitomkimbia sitomkimbia yeeh
Nitamtetea nitamtetea yeeh, sitomkimbia sitomkimbia shoreee
Rote rote malavi kama yote
Usikonde usikonde miwako kama yote
Rote rote malavi kama yote
Usikonde usikonde miwako kama yote
Rote rote malavi kama yote
Usikonde usikonde miwako kama yote
Rote rote malavi kama yote
Usikonde usikonde miwako kama yote
Sihofii niko nae {pew pew}
I got love that she need
Mama bless got a love wallah, simuoni mwingine
Written by: Japhari Charles Sanga