Credits

PERFORMING ARTISTS
BROWN MBWILOH
BROWN MBWILOH
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Joseph Scriven
Joseph Scriven
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Kale nilitembea nikilemewa dhambi
Nilikosa msaada, kuniponya mateso
Kale nilitembea nikilemewa dhambi
Nilikosa Msaada, kuniponya mateso
[Chorus]
Usifiwe msalaba! Lisifiwe kaburi!
Linalozidi yote, asifiwe Mwokozi!
Usifiwe Msalaba! Lisifiwe kaburi!
Linalozidi yote, asifiwe Mwokozi!
[Verse 2]
Hata nilipofika, mahali pa Msalaba
Palinifaa sana, sitasahau kamwe
Hata nilipofika, mahali pa Msalaba
Palinifaa sana, sitasahau kamwe
[Chorus]
Usifiwe Msalaba! Lisifiwe kaburi!
Linalozidi yote, asifiwe Mwokozi!
Usifiwe Msalaba! Lisifiwe kaburi!
Linalozidi yote, asifiwe Mwokozi!
[Verse 3]
Hicho ndicho chanzo, cha kufurahi kwangu
Hapo ndipo mzigo, uliponituliwa
[Chorus]
Usifiwe Msalaba! Lisifiwe kaburi!
Linalozidi yote, asifiwe Mwokozi!
Usifiwe Msalaba! Lisifiwe kaburi!
Linalozidi yote, asifiwe Mwokozi!
[Verse 4]
Ubavuni mwa Yesu, mlitokea damu
Chemchemi ya uzima, itakasayo roho
Ubavuni mwa Yesu, mlitokea damu
Chemchemi ya uzima, itakasayo roho
[Chorus]
Usifiwe Msalaba lisifiwe kaburi!
Linalozidi yote, asifiwe Mwokozi!
Usifiwe Msalaba lisifiwe kaburi!
Linalozidi yote, asifiwe Mwokozi!
[Verse 5]
Jitahidi uingie, damuni mwa Mwokozi
Utafutiwa dhambi, toka rohoni mwako
Jitahidi wingie, damuni mwa Mwokozi
Utafutiwa dhambi, toka rohoni mwako
[Chorus]
Usifiwe Msalaba lisifiwe kaburi!
Linalozidi yote, asifiwe Mwokozi!
Usifiwe Msalaba lisifiwe kaburi!
Linalozidi yote, asifiwe Mwokozi!
Written by: Joseph Scriven
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...