Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Composer

Lyrics

Aai, oh vipi Manecky atanlilia, je wasanii wenzangu wataniimbia
Au litafutika jina langu, na nyimbo zangu hawatosikia
Oh vipi Wasafi watanlilia ooh, je ndugu rafikii watahudhuria
Au ntakapokufa sina changu, ata mamangu atanikimbia
Ni swali gumu sana lakini nauliza sababu ipo siku itafika
Ntapotenganishwa nafsi na roho, kwenda milele kupumzika
Sijui wengi watalia kwa uchungu, ama ndio watafurahi
Mi siku na zamu yangu nkiitwa kwa Mungu ntakatishwa na uhai
Jamani nikifa kesho, hivi ni nani ntazikwa nae
Oh nani atanikumbuka, nauliza nikifa kesho nani atamwambia mama asi-cry
Mi kama nikifa kesho, hivi ni nani ntazikwa nae
Nani atanikumbuka, nauliza nikifa kesho nani atamwambia mama asi-cry
Oh mama mwanao mi sina ata mtoto mmoja, wa kusingiziwa
Hivyo nikiondoka, wasikudanganye haya
Wengi nlionao waliniambia ngoja-ngoja ati subiria
Na wengine kabisa wakakataa tuzae
Ah, oh wakiniambia, eti muda wao haujawadia, watahadhari ujana
Wengine pia mara shida zao wakanikimbia iliniumiza sana
Written by: Diamond Platnumz
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...