Credits

PERFORMING ARTISTS
Zuchu
Zuchu
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Zuchu
Zuchu
Songwriter
Abdul Hamisi Mtambo
Abdul Hamisi Mtambo
Songwriter
Zuhura Othman Soud
Zuhura Othman Soud
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer
S2Kizzy
S2Kizzy
Producer

Lyrics

[Verse 1]
He one two one two eh maiki cheki (Maiki cheki)
Tunajump jump eh ah kitenesi
Eeh! Kama kalambwanda, nda, nda kalambwasi
Na kama huna msambwandaa usiingie kati (Ayee)
[PreChorus]
Alulue, aluluee (Alulue, aluluee)
Aah kama mtu hachezi mzabue (Tumzabue, tumzabue)
Sema alulue, aluluee (Alulue, aluluee)
Kama mtu hachezi tumtoee (Tumtoe, tumtoe)
[Chorus]
Eeh nani anaweza kulicheza sagarumba
Mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
Nasema mimi ninaweza kulicheza sagarumba
[Refrain]
Maftaa taa mafta taa mafta taa
Yamemwagika, yamemwagika, yamemwagikaa
Mpaka chini, mpaka chini, mpaka chinii
[Refrain]
Aamina amina na mwajuma
Wanaringa hawa kima
Kumbe wanauzaa
Usiseme hivyoo
[Verse 2]
Kilode, kilode, kilodee
Watoto wadogo wanataka nipotee
Labda nifukiwe chini wala wasiwaongopee
Shindo langu mimi mjikusanye wote
[Chorus]
Haya sema shkamoo dada (Shkamoo dada)
Shkamoo kaka (Shkamoo kaka)
Shkamoo mama (Shkamoo mama)
Shkamoo baba (Shkamoo baba)
[PreChorus]
Alulue aluluee (Alulue, aluluee)
Ukiona hawachezi mzabue (Tumzabue, tumzabue)
Sema alulue aluluee (Alulue, aluluee)
Kama mtu hachezi tumtoee (Tumtoe, tumtoe)
[Chorus]
Eeh nani anaweza kulicheza sagarumba
Mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
Nasema mimi ninaweza kulicheza sagarumba
[Refrain]
Maftaa taa mafta taa mafta taa
Yamemwagika, yamemwagika, yamemwagikaa
Mpaka chini, mpaka chini, mpaka chinii
Written by: Abdul Hamisi Mtambo, Zuchu, Zuhura Othman Soud
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...