Credits
PERFORMING ARTISTS
B2k Mnyama
Performer
Batwely Kinyunyu
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Batwely Kinyunyu
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mecklion
Producer
Lyrics
Kwanza nataka upendeze mumy looh
hizo nywele zako ubane kibao
tutoke out tuka tumie salio
tukacheze nyimbo kali me amor ya marioo
Tule mitungiii na nyama chomaa
tukitoka bby tuka cheki na sinema
na dicco vumbiii hawato tuona
leo casino kule mambo ya sodoma
Asa weita leta moja moto moja baridi
hasara roho leo zamu yangu kufaidii
leta minyama na vikali kama henessy
nipate mchumba kesho niamke mwepesii
Akili inasema nisilale kama sijalewa
siondoki mbaka mishale
aah
nampenda mpenda
nan wa mpenda
huyu apa
nampenda mpenda
nani wa mpenda
yule pale
Akili inasema nisilale kama sijalewa
siondoki mbaka mishale x2
Najua unanidai bwana ila leo
niache ni enjoy sanaa
baba mwenye nyumba basi punguza lawama
kwani hujui leo niko wapi bwana
oya wanangu kateni sim tuko sait leo ni mitungi
tumevunja na kamati
sijana nilikosa mkaniona kolo leo ni mitungi muone kelo
Akili inasema nisilale kama sijalewa
siondoki mbaka mishale
aah
nampenda mpenda
nan wa mpenda
huyu apa
nampenda mpenda
nani wa mpenda
yule pale
Written by: Batwely Kinyunyu