Credits
PERFORMING ARTISTS
Chandelier De Gloire RDC
Performer
COMPOSITION & LYRICS
WASSY Josaphat
Songwriter
Lyrics
Mimi hapa
ndani ya uwepo wako
utukufu
umejaa mahali hapa
Mambo nisiyo yajua
yafunuliwa mahali hapa
Eh Bwana
naimba sifa zako
Wenye mizigo
wame pumuzishwa hapa
Wenye kuliya
umewapanguza machozi
Hivi mimi nitaanza je
kubaki kimia mahali hapa
Eh Bwana
naimba sifa zako
Nitaimba na kusifu
Yesu Kristo mukombozi
Imba nawa takatifu
walio kombolewa nawe
Walio kombolewa nawe
Written by: WASSY Josaphat

