Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kevo Kay
Kevo Kay
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Kevo Kay
Kevo Kay
Arranger
PRODUCTION & ENGINEERING
Kevo Kay
Kevo Kay
Vocal Producer

Lyrics

Kwako nanjongea, pokea zangu shukurani
Mwenyewe najihisi sawa, umeniepushie tafarani
Tena nakunali sawa, chukua wangu usukani
Maana uhodari dereva, utanepusha visa njiani
Mh mmmh tenana, wameimba akina Esssy
Ya kwamba Yesu we dawawa, wakupinga nani
Jalali ndiwe mchungaji wangu, kwako nafaidi aaa eeh!
Nitokapo nirudi,nisiogope kamwe maana uwangu mlinzi aaa eeh! x2
Nizidishie imani, unitie nguvu sanaa
Niweze nibuni talkini, kwa tatizo ilo sugu sanaa
Niwe nguvu zaidi ya mashini, damu yako iwe silaa
Uwe yangu chemichemi, nisije jibu ati sinaaa
Bado waweke hai, wakwone ukitenda, wajue mimi kwako mboni unanipenda sanaaaaa
Walo niita wadi hoi, hadithi ona walipenda, uniweke kiganjani uniangalie sana aahe
Jalali ndiwe mchungaji wangu, kwako nafaidi aaa eeh!
Nitokapo nirudi,nisiogope kamwe maana uwangu mlinzi aaa eeh! x2
Natamani nilindwe, nilindwe mi nilindwe na
wewe
Wakeshe kwenye kilinge, kilinge wao washindwe na wewe
Wanamkie wanipige, wanipige wapiganie na wewe
Wakinifuata unifiche, unifiche unifiche mwenyewe
Jalali ndiwe mchungaji wangu, kwako nafaidi aaa eeh!
Nitokapo nirudi,nisiogope kamwe maana uwangu mlinzi aaa eeh! x2
Written by: Kevo Kay
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...