Credits
PERFORMING ARTISTS
Xouh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ramadhan Daniel
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Joh beats
Producer
J Drama
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Mganga namuona ex wangu anafuraha
Yani kitu sijapenda
Famasiala nini (Nataka apitie magumu)
[Chorus]
Alofanya tuachane bado anabeng nae (Hii pia sijapenda)
Naomba mahusiano yao wasijue yanahusiana na nini
Kama kafara hebu toa miguu yake (Afe vibaya)
Yani mbwa yule achokwe (Aachwe vibaya)
[Verse 2]
Siwezi kukubali niteseke peke yangu alafu yeye anadunda tu
Mganga mpe lana kila ataempata awe mpenzi wa mtu (Akamatwe achapwe)
Kwa alonifanyiaga (Na ye yamkute na ye yamkute)
[Refrain]
Bora angechezea wote sio mimi
Ila hapa kakutana na namba chafu
Bora angechezea wote sio mimi
Ila hapa kakutana na namba chafu
[Verse 3]
Alafu mganga ebu fanya kitu
Ikiwa baby wangu ananicheat mkomeshe
Danga lake lipige pasi kifuani pasi
Namaanisha mkondeshe
[Verse 4]
Nishachoka drama sitaki stress ndogondogo
Nataka mtoto wa mtu nimuweke kwapani
Akinipenda awe ananipenda
Asiponipenda awe ananipenda tu
Ila mganga tafadhali naomba ex wangu ascheke tena
[Chorus]
Siwezi kukubali niteseke peke yangu alafu yeye anadunda tu
Mganga mpe laana kila ataempata awe mpenzi wa mtu (Akamatwe achapwe)
Kwa alonifanyiaga (Na ye yamkute na ye yamkute)
[Refrain]
Bora angechezea wote sio mimi (Bora angechezea wote)
Ila hapa kakutana na namba chafu (Amekutana na namba chafu)
Bora angechezea wote sio mimi (Ooh)
Ila hapa kakutana na namba chafu (Asicheze na hisia zangu)
[Outro]
Kama kafara hebu toa miguu yake
Yani mbwa yule achokwe
Written by: Ramadhan Daniel

