Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Prince Indah
Performer
EVANCE OCHIENG OWINO
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
EVANCE OCHIENG OWINO
Songwriter
Lyrics
Ooh cinderella cinderellaaa
Cinderella mama
Ooh cinderella cinderellaaa
Cinderella mama
Ooh cinderella cinderellaaa
Cinderella mama
Ooh cinderella uko wapiii
Nikupate wapi
Ooh cinderella uko wapiii
Nikupate wapi
Ooh cinderella uko wapiii
Nikupate wapi
Ooh cinderella cinderella mama
Ooh cinderella cinderella mama
Mtoto wa kiafrika cinderella mama
Mtoto wa tanzania cinderella mama
Mtoto wa tanzania cinderella mama
Mtoto daresalam cinderella mama
Mtoto daresalam cinderella wewe
Mtoto daresalam cinderella mama
Ooh cinderella cinderellaaa
Cinderella mama
Cinderella cinderellaaa
Cinderella mama
Ooh cinderella cinderellaaa
Cinderella mama
Ooh cinderella cinderellaaa
Nikupate wapi
Ooh cinderella uko wapiii
Nikupate wapi
Ooh cinderella uko wapiii
Nikupate wapi
Ooh cinderella cinderella mama
Ooh cinderella cinderella mama
Ooh cinderella cinderella mama
Miye nilikupenda cinderella wewe
Miye nilikupenda cinderella wewe
Lakini sina uwezo cinderella mama
Lakini sina uwezo cinderella mama
Waona matajiri cinderella wewe
Waona mabwenyenye cinderella wewe
Waona mabwenyenye cinderella wewe
Waona matajiri cinderella wewe
Miye mlala hoi cinderella mama
Miye mlala hoi cinderella mama
Waona walala hai cinderella wewe
Waona walala hai cinderella wewe
Uliondoka nyumbani cinderella wewe
Uliondoka nyumbani cinderella mama
Eti waenda kuona wazazi wako
Eti waenda kuona wazazi wako
Miezi mitatu zimeoita bado hujafika
Miezi mitatu zimeoita bado hujafika
Punde tu ulipo ondoka simu ukazima
Punde tu ulipo ondoka simu ukazima
Kosa gani nililotenda cinderella mama
Kosa gani nililotenda cinderella wewe
Si ungenieleza mapema cinderella wewe
Ungenieleza mapema kabla uondoke
Ungenieleza mapema kabla uondoke
Najuta kukupenda cinderella wewe
Najuta kukupenda cinderella wewe
Najuta kukupenda cinderella wewe
Mawazo kila siku cinderella mama
Mawazo kila siku cinderella mama
Machozi kila siku cinderella mama
Ooh cinderella cinderellaaa
Cinderella mama
Ooh cinderella cinderellaaa
Cinderella mama
Ooh cinderella cinderellaaa
Cinderella mama
Ooh cinderella cinderellaaa
Nikupate wapi
Ooh cinderella cinderellaaa
Nikupate wapi
Ooh cinderella cinderellaaa
Nikupate wapi
Ooh cinderella cinderella mama
Ooh cinderella cinderella mama
Ooh cinderella cinderella mama
Bado nakumbuka siku ya harusi
Harusi yetu wawili kweli ilifana
Harusi yetu wawili kweli ilifana
Harusi yetu wawili kweli ilifana
Pete lile ulilonivisha bado nimehifadhi
Pete lile ulilonivisha bado nimehifadhi
Picha lile ulilonivisha bado nimehifadhi
Picha lile ulilonivisha bado nimehifadhi
Picha lile ulilonivisha bado nimehifadhi
Cinderella mama cinderella wewe
Kwa kweli uko wapi cinderella mama
Kwa kweli uko wapi cinderella mama
Kwa kweli uko wapi cinderella wangu
Mtoto wa tanzania cinderella mama
Mtoto wa tanzania cinderella wewe
Mtoto daresalam cinderella mama
Mtoto daresalam cinderella mama
Mtoto daresalam cinderella mama
Kwa kweli uliumbwa ukaumbika
Kwa kweli uliumbwa ukaumbika
Ooh cinderella cinderellaaa mama
Ooh cinderellaa
Cinderella mama
Ooh cinderellaa
Cinderella mama
Ooh cinderellaa
Cinderella mama
Oooh cinderellaa
Nikupate wapi
Iiih cinderella wee
Nikupate wapi
Oooh cinderellaa
Nikupate wapi
Barua yangu ni ya mapenzi
Ukipata barua usome kweli
Barua yangu ukipata usome kweli
Barua yangu ya mapenzi nakuhitaji
Barua yangu ya mapenzi nakuhitaji
Ooh cinderella cinderella cinderella mama wewe
Mtoto tanzania wewe
Mtoto daresalam wewe
Ooh cinderella mamaa
Mmh barua yangu usome
Cinderella mamaa
Eeh rudi nyumbani wewe
Cinderella
Written by: EVANCE OCHIENG OWINO


