Credits
PERFORMING ARTISTS
Tukisonga
Performer
Dyana Cods
Performer
Father Moh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mbithi
Songwriter
Lyrics
Hapa ndo tunakua Free
Place kila dream inacount
Hakuna kitu impossible no doubt
Tunamove pamoja na ithaa
Energy iko full Kila base kwa mtaa
Nayo nayo Tukisonga
Tunaleta change tukisonga pamoja
Tunaconnect
Nayo nayo Tukisonga
Hatustop,tupate Tukisonga
Nayo nayo Tukisonga
Kaa ukona morio
Mii nikona storio
Nitoe kwa ngorio
Chweza itanipandio
Ukileta mchangio
Unajenga side hiyo
Miiii utanimake Fall
Moja itanimali ooooh
Inua yako mguu
Kwa matope isikwame
Nkuruma kwa nguvu
Kaa ule shujaa
Anaitwa kwame
Pamoja ni kuu T
Unaunguza ukame
Nilishe vipoa
Sio poa miii nihame
Nipate miii dandia kwa mat
Na moshogi hanijudge
Na michoro za tat
Sio mbaya nikihave
Hapa ndo tunakua Free
Place kila dream inacount
Hakuna kitu impossible no doubt
Tunamove pamoja na ithaa
Energy iko full Kila base kwa mtaa
Nayo nayo Tukisonga
Tunaleta change tukisonga pamoja
Tunaconnect
Nayo nayo Tukisonga
Hatustop,tupate Tukisonga
Nayo nayo Tukisonga
Biggie biggie
Heavy heavy
Unatakia nini
Story zetu,
Kafagie kwenu
Biggie biggie
Heavy heavy
Dancestyle ni za kikwetu
Na inafika hadi majuu
Ni githa ya ma youth,
Gotha sana
Generation z
Hakuna kitu
Wanaweza fanya
Songa kwanza
Kando uonyeshe rada
Wakifunga mlango
Tunavuka na ladder.
None of dem bad like we
Original none of
Dem compare
None of dem bad like we
Real badgyalis
Nothing come near
Hapa ndo tunakua Free
Place kila dream inacount
Hakuna kitu impossible no doubt
Tunamove pamoja na ithaa
Energy iko full Kila base kwa mtaa
Nayo nayo Tukisonga
Tunaleta change tukisonga pamoja
Tunaconnect
Nayo nayo Tukisonga
Hatustop,tupate Tukisonga
Nayo nayo Tukisonga
Written by: Mbithi