Credits
PERFORMING ARTISTS
Daxo Chali
Performer
Fred Chali
Guitar
COMPOSITION & LYRICS
Fred Chali
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Daxo Chali
Producer
Lyrics
(Into)
Nalala nalala nalala
Nalala na lala lala lalaa
(Verse 1)
Can i call you Rose?
Naomba nikuite uaridi,
Can i call you sunshine?
Kwenye iki kibaridi,
Baki na mi tu,
Usiende popote,
You know i need you,
Au twende wote,
My sweet,
My sugar,
Haipiti,
Hata muda,
Bila kukuwaza we,
Ka fisi kwa mbuga,
Mimi hapa mlugaluga,
Usingizi wangu we,
Usingizi wangu we,
(Chorus)
Najiona,
Napepea,
Kidedea,
Kidedea,
Huba huru,
Lapepea,
Kidedea,
Kidedea
Nalala nalala nalala
Nalala na lala lala lalaa
(Verse 2)
We pasi kwa pasi ka Sanciro,
Huba linaniongeza kilo,
Ntakulinda Kamanda Sirro,
Sirro,
Ai pasi kwa pasi ka Sanciro,
Huba linaniongeza kilo,
Ntakulinda Kamanda Sirro,
Sirro,
My sweet,
My sugar,
Haipiti,
Hata muda,
Bila kukuwaza we,
Ka fisi kwa mbuga,
Mimi hapa mlugaluga,
Usingizi wangu we,
Usingizi wangu we,
(Chorus)
Najiona,
Napepea,
Kidedea,
Kidedea,
Huba huru,
Lapepea,
Kidedea,
Kidedea
Nalala nalala nalala
Nalala na lala lala lalaa
(Chorus)
Najiona,
Napepea,
Kidedea,
Kidedea,
Huba huru,
Lapepea,
Kidedea,
Kidedea
Nalala nalala nalala
Nalala na lala lala lalaa
Written by: Fred Chali