Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Jay Melody
Jay Melody
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Sharif Saidi Juma
Sharif Saidi Juma
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
S2Kizzy
S2Kizzy
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Shake your bum bum, shake your bum bum, shake it
Gimme some some, gimme some some, gimme
Iyo tamu tamu, iyo tamu tamu, cake
Kama stimu Marijuana
[Verse 2]
Kwenye mamilioni ya watu your the one
Pekee unaenimaliza
Na ushajua bila wewe mimi siwezi
Ukiniacha itaniumiza
[Verse 3]
Unaniweza uwepo wako natambua
Kiufupi umekamilika
Mechi za nje si unajua hua si chezi
Ononono
[Chorus]
My dearest, wangu wa moyo yoyoh
My dearest, si ndio oyo yoyoyooh
My dearest, wangu wa moyo yoyoh
My dearest, si ndio oyo yoyoyooh
My dearest
[Verse 4]
Hesabu jioni, kwani kulikoni
Penzi linafuka moshi, zikichomwa kuni
Hesabu jioni, faida sioni
Pesa zote nitazopata, nitakuhonga honey
[Verse 5]
Nimenogewa kifupi nimekolea
Nikikutazama jua nataka kupewa
Onyo kwa wote wanaonyemelea
Penzi liko kasi wasije wakapotea
Nonono
[Verse 6]
Kwenye mamilioni ya watu your the one
Pekee unaenimaliza
Na ushajua bila wewe mimi siwezi
Ukiniacha itaniumiza
[Verse 7]
Umeniweza uwepo wako natambua
Kiukweli umekamilika
Mechi za nje si unajua hua si chezi
Ononono
[Chorus]
My dearest, wangu wa moyo yoyoh
My dearest, si ndio oyo yoyoyooh
My dearest, wangu wa moyo yoyoh
My dearest, si ndio oyo yoyoyooh
My dearest
Written by: Sharif Saidi Juma
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...