Credits
PERFORMING ARTISTS
Dedo Dieumerci
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Dieu Merci Mugwaneza
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
hymnos
Producer
Lyrics
Kazia macho msalaba
Je, unaogopa hutafika huko mbinguni?
Are you afraid you won't make it to heaven?
Kazia macho msalaba upate rehema zake
Fix your eyes on the cross and receive His mercy
Akuokoe na mauti, Akupe uhayi
He will save you from death and give you eternal life
Je, unadhoofika na umetokwa na nguvu?
Are you weary, worn, and losing strength?
Mkaribie aitie mikono yako nguvu
Draw near to Him, He will strengthen your hands
Aisimamishe miguu yako kwenye mwamba
And steady your steps upon the Rock
Je, una kiu sana, na safari imekua ndefu?
Are you very thirsty, and the journey has become too long?
Mwendeeni Mungu, ndiye bubujiko inayozima kiu
Come to Him, He is the fountain that quenches thirst
Akububujishe kwenye chemchemi ya maji ya uzima!
He will overflow you with the fountain of living water!
Je, una dhambi ambayo umeambatana nayo?
Are you attached to a sin that's been with you for so long?
Yifanye adui yako na uishtaki kwa Yesu
Make it your enemy and expose it before Jesus
Atakuokoa nayo na akuweke huru
He will save you from it and set you free
Unaoga wa kwenda kwake Mwokozi?
Are you afraid to come to the Savior?
Nenda haraka anakungoja kwa mikono miwili
Hurry to Him, He's waiting for you with open arms
Ni mwenye rehema na anakaribisha kila anayekuja kwake
He is full of mercy and welcomes all who come to Him
Bado kuna matumaini ya kupewa nguvu mpya
There is still hope to receive new strength
Na maisha mapya katika Kristo
And new life in Christ
Chagua vyema na uamini, kubali njia anayokupitishia
Choose wisely and believe, accept the path He leads you through
Akukamilishe katika rehema zake
And let Him perfect you through His mercy
Yeye ndiye mpaji wa uhai pasipo na uhai
He is the giver of life where there is no life
Na yeye huhifadhi yote katika upendo wake
And He sustains all things in His love

Written by: Dieu Merci Mugwaneza