Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Albert Mangwair
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Albert Mangwair
Songwriter
Lyrics
Woo
Ah AKA Mimi
Bongo Records
Mademu wangu wote mimi ninawazimia
nipeni namba zenu wote nitawapigia
Mi sijali kabila bali zenu tabia
Na uzuri wenu ndo unaonivutia
Mademu wangu wote mimi ninawazimia
nipeni namba zenu wote nitawapigia
Mi sijali kabila bali zenu tabia
Na uzuri wenu ndo unaonivutia
Nna mademu wengi wa kila aina hadi moja wakichina
Na achana na kina tina,nina,pina mwingine dina
Wapo wengi wengine nimewasahau hata majina
Kuna sabrina demu wangu wa kikurya tatizo anahasira sana
na kila siku kudundana kupigana
Ndivyo mapenzi yetu yanavyokwenda
Na sio kama demu wangu wakichaga
ameenda shule bomba afu mjanja ila
anachonikera hatuwez kuelewana siku nisipokuwa na hela
Sio Sinta ni Anitha demu wangu wakinyaturu
mkolof ka wa kijita
Nna mfipa mbali na uzuri na mapenzi anayonipa napenda jinsi anavyojua kupika
Demu wangu wakitanga nampenda anajua sana mapenzi
urefu ndo kigezo kwa demu wangu wakinyamwezi
wapo wengi ma kwa hali na mali wote ngwair nawaenz tu
kwani wote nawapendasana kama navyozipenda makumbusho na k’nyama
Mademu wangu wote mimi ninawazimia
nipeni namba zenu wote nitawapigia
Mi sijali kabila bali zenu tabia
Na uzuri wenu ndo unaonivutia
Mademu wangu wote mimi ninawazimia
nipeni namba zenu wote nitawapigia
Mi sijali kabila bali zenu tabia
Na uzuri wenu ndo unaonivutia
Nna mademu wengi hadi nadata
Hata sijui nigawe vipi mapenzi na wote wananitaka
sijui yupi niwe naye na yupi nimtose
kwani hakuna ambaye amekamilika sifa zote
Mfano mfupi huyu demu wangu wa kiluguru
Ndo chanzo cha kumwaga na kumchukua mmbulu
Na nashukuru kupata demu wa kingoni msomi
Na sio kama dem wangu wakigogo kuomba ye ndo fani
Anaweza pika ugali bomba afu mboga mpaka akaombe kwa jirani
Na mmanyema kwa kuchonga soo
Na kuna wengi ambao bado sijajua tabia zao bro
Ingawa huwa nazingatia tabia napenda pia awe mzuri wa kuvutia
Ikiwezekan awe mzuri wakupindukia
yani hata nikiwa na shshhh mim najisikia raha
Napaka leo story nnavyowapatia nna mademu kama 9 hivi bado nawafukuzia
yeee hahah
Mademu wangu wote mimi ninawazimia
nipeni namba zenu wote nitawapigia
Mi sijali kabila bali zenu tabia
Na uzuri wenu ndo unaonivutia
Mademu wangu wote mimi ninawazimia
nipeni namba zenu wote nitawapigia
Mi sijali kabila bali zenu tabia
Na uzuri wenu ndo unaonivutia
Wengine niliwapata wakati bado nipo Dom
Wengine kwenye show nlipokwenda kuperform
Wachache wanajulikana mpaka home
Lakini hakuna ambaye sikutumia condom
Nna mademu wengi kila sehemu
Hata simu yangu yenyewe imejaa namba za mademu tu
Napenda piga ya dem wangu wa kihaya
Wala sijali wanavyomuita ye malaya
Nna mpare mvivu sana
demu wangu wa kirangi naye ana wivu sana
Asione nimesimama na msichana hata kama tunaongea deal za maana ishakuwa lawama
Nna msandawe mcheshi sna ila lugha ndo kitu tunachoshidwa kuelewana
kama ****
Yani huwa sijui ana maana gani labda i love you honey
Nna mzaramo kila wiki ngomani
Bora demu wangu wa kipemba ye kutwa yupo ndani
Msi-mind sana kwa wale mliosalia
Ila muamini kwamba wote nawaziamia
Mademu wangu wote mimi ninawazimia
nipeni namba zenu wote nitawapigia
Mi sijali kabila bali zenu tabia
Na uzuri wenu ndo unaonivutia
Mademu wangu wote mimi ninawazimia
nipeni namba zenu wote nitawapigia
Mi sijali kabila bali zenu tabia
Na uzuri wenu ndo unaonivutia
Wengine niliwapata wakati bado nipo Dom
Wengine kwenye show nlipokwenda kuperform
Wachache wanajulikana mpaka home
Lakini hakuna ambaye sikutumia condom
Haha
Ngwair
Na hii ni kwa ma player
Lengo langu mi ni kutaja majina tu
Written by: Albert Keneth Mangwair (Ngwair), Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)