Vídeo musical

Vídeo musical

Créditos

PERFORMING ARTISTS
Lady. S.
Lady. S.
Performer
Pili-Pili
Pili-Pili
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Pili-Pili
Pili-Pili
Songwriter

Letras

[Chorus]
Ukimwona mwambie namtaka
Ukimwona mwambie na msaaka
Ukimwona mwambie namhata
Ndio ajue na mpenda
Ukimwona
Ukimwona
Ukimwona
Ukimwona
[Verse 1]
Mtoto nakuomba nisamehe
Kwa kutangatanga kama mwewe
Usiniache mama
Nitaumia mtoto na njeve
[Verse 2]
Unajifanya mpoa na hauna mwere mwere
Una hanya huku na kule ati mimi nakungoja
Unaniseduce ati tutastay pamoja
Naulikuwa unahanya ule beste wangu wa Umoja
Si hata juzi maboyz walikucheki na manzi fulani mtaani
[Verse 3]
Na kila wakati unanipa date unaacha masahani
Fatuma, Majuma na Zaituna
Si uliwapa ile chuma, siuliwapa ile chuma
Kila time unanishow umechill
Nastori zako zimevuma
[Verse 4]
Unajibamba sana Mr. Handsome na hauna utamu
Naukinicheki na chali
Unatamaani kulia damu
Hata nikihug makuzo unajifanya kitungu saumu
Sikufeel we feel zangu chuki na mimi nitulie
[Verse 5]
Pia ukipenda jua kali akutupie juu ya mabati ama akumakie
Si ile Sunday ulinishow tu mi ni kachik
Una niclaim sikupi love na nalook so cheap
Fahamu kila kitu kinapanda nakinachuka
[Chorus]
Ukimwona mwambie namtaaka
Ukimwona mwambie na msaaka
Ukimwona mwambie namhata
Ndio ajue na mpenda
[Chorus]
Ukimwona mwambie namtaaka
Ukimwona mwambie na msaaka
Ukimwona mwambie namhata
Ndio ajue na mpenda
Ukimwona
Ukimwona
Ukimwona
Ukimwona
[Verse 6]
Najua niliringa kajifanya muvito
Sikujuwa nitapata kipigo
Ni miezi tatu mama
Na nina hata mapenzi simple
[Verse 7]
Sasa tumwone ni nani jasusi
Juu kila siku maneno zinacome na matusi
Vile umejiweka nikujingarisha ulikuwa tu kauzi
Siata ulikuwa fala nikakupaa zangu juzi
[Verse 8]
Usikuwe ka Isso ka kuweka cookie moja
Zitapasuka, leo nakupa meno ambazo zinanuka
Leo ni leo auskie pia nawezazusha
Nawezazusha, nawezazusha
Maujanja zako ndio hizo zinagonga ukuta
Huyo manzi unamtumia mtumia si umkatie
Juu anaweza kukubamba na love yako akupatie
Yangu kwako baba ni, long gone history
[Verse 9]
Sikufeel, we feel zangu chuki na utulie
Kila manzi mtaani ana zako story
Lady S Lady S, kwani hauchoki kuongea
Sasa feel free juu ushaangukia ile imeshachocheya
Mambo zangu na zako zishagonga ukuta
Nilikupenda sana
Sasa angusha words high class ndio tuonge
Tuonge, tuongeee
[Chorus]
Ukimwona mwambie namtaaka
Ukimwona mwambie na msaaka
Ukimwona mwambie namhata
Maana ajue na mpenda
[Chorus]
Ukimwona mwambie namtaaka
Ukimwona mwambie na msaaka
Ukimwona mwambie namhata
Maana ajue na mpenda
Ukimwona
Ukimwona
Ukimwona
Ukimwona
Wenye wanasema wacha waseme
Kwani sitachoka
Endeleeni endeleeni kuropokwa
Genge
Lady S hapa, Pilipili
Two thao na tano!
Written by: Pili Pili
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...