Canciones similares
Letras
Neno moja nimeliweka moyoni mwangu
Neno lako limeujaa moyo wangu
Neno moja nimeliweka moyoni mwangu
Neno lako limeujaa moyo wangu
Kwa yale umeyafanya
Yameufanya moyo
Nitaje lako jina
Yesu mtenda mema
Kwa yale umeyafanya
Yameufanya moyo
Nitaje lako jina
Yesu mtenda mema
Ati na mimi umeniheshimisha sana
Huyu mimi niliyeonekana sina maana
Ati na mimi umeniheshimisha sana
Huyu mimi niliyeonekana sina maana
Umenipa fungu langu Bwana
Umerejesha yaliyopotea
Umenifanya nisimame tena
Kuwashinda wale walionibeza
Umenipa fungu langu Bwana
Umerejesha yaliyopotea
Umenifanya nisimame tena
Teenaa
Tabibu
(Mtenda mema)
Umenitibu
(Nimepona)
Tabibu
(Mtenda mema)
Umenitibuu
(Nimepona)
(Kwa yale umeyafanya)
(Yameufanya moyo)
(Nitaje lako jina)
(Yesu mtenda mema)
Walioweka fikira zao na muda wao
Kunishusha chini
Ukayavunja mawazo yao
Mipango yao
Ikarudi chini
Taa humulika mulika
Juu yangu
Nayo yangaza
Nyota yangu
We umenipa umenipa
Ushindi wangu
Nami natembea
Juu kwa juu
Tabibu
(Mtenda mema)
Umenitibu
(Nimepona)
Tabibu
(Mtenda mema)
Umenitibu
(Nimepona)
Taa humulika mulika juu yangu
We umenipa umenipa ushindi wangu
Writer(s): Asheri K Wilbard, Suleiman Wilson
Lyrics powered by www.musixmatch.com