Letras

One love (Pasuka Pamoja Records) 20! Bonseee Picha linaanza, baba kapata kiwanja Ukaenda kwa waganga ili ashindwe kujenga Picha kuanza, baba kapata kiwanja Ukaenda kwa waganga ili ashindwe kujenga Hilo mungu akapinga, akapinga Akamjalia kujenga, tukasau kupanga Kumbe wewe ulipinda, ulipinda Ukawa unamuinda, ukamuinda Alipo kuwa mgonjwa haukuja kumuona Alipokufa wa kwanza ama ulikuja kutafuna Mali za urithi zisifanye utuhue Mali zetu sisi vipi zikufae wewe! (Ulilia lia) ulilia (Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya (Hukufurahia, uliona haya) Ulilia, (ulilia lia) ulilia lia (Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya (Hukufurahia uliona haya) Siku ya msiba asiekujua, alikujua Ulimlilia baba kama ni mtu muimu kwenye familia Siku ya msiba asiekujua, alikujua Ulimlilia baba kama ni mtu muimu kwenye familia Kaka yangu miye kwanini atangulie? Bora ningekufa mie, eti ulilia "Kaka yangu miye kwanini atangulie? Bora ningekufa mie," Naona kaniachia watoto wadogo Kama sio yule waenzi zile, hunieza zogo Kaniachia watoto wadogo Yani hufanani na yule aliegeukaga mbogoo (Ulilia lia) ulilia lia (Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya (Hukufurahia, uliona haya) uliona haya (Ulilia lia) ulilia (Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya (Hukufurahia uliona haya) Ilipita mwezi mmoja baada ya msiba Kulikuja namba moja ndugu, kuenzi kifo cha baba Yani mwezi mmoja baada ya msiba Kulikuja namba moja ndugu, kuenzi kifo cha baba Mara ulisimama katikati ya umati ukiwa na karatasi Eti ukasema, ni hati na nyumba haituhusu sisi Hile nyumba ya urithi, leo si yetu sisi Kama ni nyumba ya urithi, haaya (Ulilia lia) ulilia lia (Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya (Hukufurahia, uliona haya) uliona haya we (Ulilia lia) ulilia lia (Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya (Hukufurahia uliona haya) Waunguze Bonseee Tambwikochanda mbabela Tambwikochanda mbabela Tambwikochanda mbabela (Bandemo) Tambwikochanda mbabela Tambwikochanda mbabela Tambwikochanda mbabela (Bandomo) (Ulilia lia) ulilia lia (Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya (Hukufurahia uliona haya) uliona haya we (Ulilia lia) ulilia lia (Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya (Hukufurahia) furahia (uliona haya) haya
Writer(s): Abbas 20 Percent Hamis, Abbas Hamis, Issa Rorexxie Ibungu, Issai Ibungu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out