Crédits

INTERPRÉTATION
Jovial
Jovial
Chant
Marioo
Marioo
Interprète
COMPOSITION ET PAROLES
Jovial
Jovial
Paroles/Composition
Marioo
Marioo
Paroles/Composition
Kimambo
Kimambo
Composition
PRODUCTION ET INGÉNIERIE
Kimambo
Kimambo
Production

Paroles

[Verse 1]
Mi amour, te amo
Uuh baby, mon amour
Hakuna mwengine wa kumsikia
Kwenye maskio yangu
Hakuna mwengine wa kumuona
Kwenye macho yangu
[Chorus]
Nibebe, nibebe honey nishushe mahabani aah
Nigege, nigegee me kwako tahabani
Eeh, eeh, eeh, ah (Mi amour), mmh
Nikuite jina gani baby, honey, boo (Mon amor)
Eeh, eeh, eeh, ah (Mi amour), mmh
Nikuite jina gani Mahabuba, Laziziih (Mon amor)
Ah mon amor
[Verse 2]
Mmh haawaai, hae yeeh, baby hey
Moyoni ulivonikaa never seen before
Unavyonipa never seen before
Wengine wa nini ooh la-la-la, la-la-la
Never seen before
Tuwe wote mpaka kifoo
Madungaembe wa nini Ooh la-la-la, la-la-la
Kwenye joto nipepee kwenye baridi nikupambate eeh
Kwenye mvua nikinge huwe muamvuli
[Chorus]
Nibebe, nibebe honey nishushe mahabani aah
Nigege, nigegee me kwako tahabani
Eeh, eeh, eeh, ah (Mi amour), mmh
Nikuite jina gani baby, honey, boo (Mon amor)
Eeh, eeh, eeh, ah (Mi amour), mmh
Nikuite jina gani Mahabuba, Laziziih (Mon amor)
Ah mon amor
Written by: Jovial, Kimambo, Marioo, Marioo Mwanga
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...