गाने

[Verse 1]
Ni rahisi kinywa kujawa na lawama tele
Pale mambo yanapoonekana hayaendii
Ni ajabu sana namna moyo unahangaika (Kutafuta majibu)
Ajabu sana moyo unavyoonyesha mashaka
[Verse 2]
Ya kwamba (Japokuwa Mungu) anaishi ndani yangu (Kuna muda nahofu)
Japokua Mungu anaketi kati yetu (Kuna muda nahofu)
Ahh nakumbuka wana wa Israel katika bahari ya shamu
Japo walikatiza katikati ya bahari kwa ushindi
Kwa nyimbo nyingi waliimba na kumsifu Bwanaa
Lakini baada ya kuvuka na kuliona jagwa yalibadilika mambo
Manung'unikoo yalisimama aah
Na kusahau muujiza alotenda Bwana mwanzo aah
Eee Mungu Niisaidieee ee eenhee uwoo
[Chorus]
Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa magumu
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii

[Verse 3]
Eeh, eh Mungu nisaidiee
[Verse 4]
Nisaidiee kukumbuka baba yakwamba umenichora
Kiganjani mwako
Kati ya wengi walioko duniani eenh na mimi umenionaa ooh ooo
Nikumbushe Baba yakwamba ni wewe umeniponya nilipoumwa
Ya kwamba ni wewe mlipaji wa ada yangu shulenii ouooh ooh
Ya kwamba kama ungeniacha hatua moja nisingelifika nilipo ooh eeh Babaa
Umenikung'uta mavumbi, kung'uta mavumbi mimi na kuniheshimisha, ooh, ooh
[Chorus]
Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa magumu
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii
Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa magumu
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii
[Chorus]
Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa magumu
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii
Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa magumu
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii
Written by: Angel Benard
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...