गाने

KASSAM
JINI X66
USIMWAZE MWINGINE NIWAZE MIMI TU
NIKISEMA I LOVE YOU ITIKA I LOVE YOU TOO
NISEMESHE KWA KUNONG\'ONA OOH MY BOO
TUPENDANE MPAKA WAIGE NDEGE WALIOPO JUU
LEO SITAKI PENZO HARAKA RAKA TUFANYE TARATIBU
LEO TUSITOKWE JASHO YANI TARATIBU
TENAH TUSIYAFUMBE MACHO TUTAZAMANE KWA UKARIBU
TENA NIAMBIE UKIPENDACHO NIANZE SHINGO AMA MBAVU
KWA MOYO WANGU UPO HAPA
HAPA HAPA HAPA
HAPA HAPAAA
HAPA HAPA HAPA
KWA MOYO WANGU UPO HAPAA
HAPA HAPA HAPA
HAPA HAPA AAA
HAPA HAPA HAPA
ACHA NIKUAMBIE HIZI HISIA
MI NAKUPENDA SANA NA NIMEKURIDHIA
WEWE BILA MIE MAPENZI HAKUNA
NA TUTACHOPANDA NDO TUTACHOVUNA
EEEEEEH
NIKUACHE MIMI LABDA NIMEROGWA
KICHWANI MWANGU UMENIJAA
O O O AH NAKUOTA NIKILALA ME NAKUOTA
LEO SITAKI PENZO HARAKA RAKA TUFANYE TARATIBU
LEO TUSITOKWE JASHO YANI TARATIBU
TENAH TUSIYAFUMBE MACHO TUTAZAMANE KWA UKARIBU
TENA NIAMBIE UKIPENDACHO NIANZE SHINGO AMA MBAVU
KWA MOYO WANGU UPO HAPA
HAPA HAPA HAPA
HAPA HAPAAA
HAPA HAPA HAPA
KWA MOYO WANGU UPO HAPAA
HAPA HAPA HAPA
HAPA HAPA AAA
HAPA HAPA HAPA
Written by: Kassam Rashid
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...