Testi

Mungu wetu ni mkuu ni mwaminifu, mtoshelevu kwetu huu hata milele

Akiahidi anatenda, ukimwamini yeye tu, na neno lake halirudi kwake bure ni Mungu

Anadumu milele, ni mwaminifu, El-Shaddai, El-Shaddai
Akiahidi anatenda, ukimwamini yeye tu, na neno lake halirudi kwake bure ni Mungu
Akiahidi anatenda, ukimwamini yeye tu, na neno lake halirudi kwake bure ni Mungu
Tumebarikiwa na Mungu mwenyewe, tuna ujasiri ndani ya Yesu
Tumebarikiwa wengine waone, waokolewe wamjue Yesu

(Baba Baba) Tupate wapi mwingine, kama wewe? (Yesu-Yesu), unatutosha
(Baba, Baba) Tupate wapi mwingine, kama wewe? (Yesu-Yesu), unatutosha
Unatupa vyote tukuombavyo (Double-double), Hatupungukiwi tukiwa nawe

Unatupa vyote tukuombavyo (Double-double), hatupungukiwi tukiwa nawe

Yahweh tupate wapi mwingine, Yahweh unatutosha

Written by: Neema Gospel Choir
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...