album cover
Amelowa
136.676
Music
Amelowa è stato pubblicato il 28 ottobre 2022 da Ziiki Media come parte dell'album Made For Us
album cover
Data di uscita28 ottobre 2022
EtichettaZiiki Media
Melodicità
Acousticità
Valence
Ballabilità
Energia
BPM103

Crediti

Testi

[Verse 1]
Hiyo miinamo, huko nyuma yaliyomo yamo eeh
Binti wa makamo, come closer na give me some more oh-oh
Kama tunda lilimshinda Adamu akashindwa kuvumilia
Sa kwanini tuitane binamu nina nyongo itatumbukia
Ulimi ukipitiliza, unanimaliza, mwenzako bado najiuliza
Hivi ni kweli ama tunaigiza
[PreChorus]
Moyo umezama kwake bila yeye siwezi toboa
Mi ndo fundi wa raha zake natwanga nakukoboa
Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia
Zikanipanda hisia na nilipochuchumia maji yakatoka
[Chorus]
Amelowa, amelowa, amelowa na mvua
Amelowa, amelowa, amenyeshewa na mvua
Mtoto amelowa, amelowa, amelowa na mvua
Amelowa, amelowa, amenyeshewa na mvua
[Verse 2]
Uuh aah ameniweka kwenye chupa ndo maana natamba
Uuh aah kwenye papara pupa nawona washamba
Nyope nkamwanao anyakwile chakunoa chachikutila mwanao
Liduva lipambahuka kulyamba
Liduva lipambahuka kulyamba
[PreChorus]
Moyo umezama kwake bila yeye siwezi toboa
Mi ndo fundi wa raha zake natwanga nakukoboa
Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia
Zikanipanda hisia na nilipochuchumia maji yakatoka
[Chorus]
Amelowa, amelowa, amelowa na mvua
Amelowa, amelowa, amenyeshewa na mvua
Mtoto amelowa, amelowa, amelowa na mvua
Amelowa, amelowa, amenyeshewa na mvua
[Outro]
Ameniweka kwenye chupa ndo maana natamba
Hao vijana
Kwenye papara pupa nawona washamba
Ate ntwangu unandeke
Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia
Zikanipanda hisia na nilipochuchumia maji yakatoka amelowa
Written by: Arub Jahali
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...