Testi

Hapo mwanzo Mungu alimwumba adam Bustani ya edeni aitunze Baadae Mungu aliona sio vyema Adam awe pekeyake akampa mke mwema Apo mwanzoo (ooooooh) (Mke mwemaaa)mke mweema (Mke mwema)anatoka kwa bwana (Aaaaah)nimemwomba Mungu nangojea (Mke mwemaa)mke mweema (Mke mwema)anatoka kwa bwana (Haleluya)nimemwomba Mungu nangojea mke mwema aah
Writer(s): Boniphace Mwaitege Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out