Testi

Jina Maria, ni jina tukufu Lafurahisha, linatutuliza Malaika mbinguni wanaliimba Usiku na mchana wanaliimba Wakisema Ave ave Maria ni jina tukufu jina la Maria Wakisema Ave ave Maria ni jina tukufu jina la Maria Maria mama wa Mungu tuombee Tuombee kwa mwanao Yesu Kristu Tuombee kwa mwanao Yesu Kristu Jina Maria, ni jina tukufu Lafurahisha, linatutuliza Malaika mbinguni wanaliimba, usiku na mchana wanaliimba Wakisema Ave ave Maria ni jina tukufu jina la Maria Wakisema Ave ave Maria ni jina tukufu jina la Maria Jina lako siku zote lapendeza Wewe uliye mnara wa Daudi Wewe uliye mnara wa Daudi Jina Maria, ni jina tukufu Lafurahisha, linatutuliza Malaika mbinguni wanaliimba, usiku na mchana wanaliimba Wakisema Ave ave Maria ni jina tukufu jina la Maria Wakisema Ave ave Maria ni jina tukufu jina la Maria Jina lako siku zote lapendeza Wewe uliye malkia wa Mbinguni Wewe uliye malkia wa Mbinguni Jina Maria, ni jina tukufu Lafurahisha, linatutuliza Malaika mbinguni wanaliimba, usiku na mchana wanaliimba Wakisema Ave ave Maria ni jina tukufu jina la Maria Wakisema Ave ave Maria ni jina tukufu jina la Maria Twaliimba jina lako siku zote Jina Maria linatufurahisha Jina Maria linatufurahisha Jina Maria, ni jina tukufu Lafurahisha, linatutuliza Malaika mbinguni wanaliimba, usiku na mchana wanaliimba Wakisema Ave ave Maria ni jina tukufu jina la Maria Wakisema Ave ave Maria ni jina tukufu jina la Maria Wakisema Ave ave Maria ni jina tukufu jina la Maria Wakisema Ave ave Maria ni jina tukufu jina la Maria
Writer(s): Christine Mugambi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out