album cover
Kiwembe
album cover
00:00
00:05
00:15
00:25
00:30
00:35
00:40
00:50
01:30
01:45
01:55
02:10
02:35
03:10
03:35
00:00
03:44
Ultimi 7 giorni
Kiwembe è stata scoperta più frequentemente a circa 2 minuti and 10 secondi dall'inizio la canzone durante la settimana passata

Testi

(S2Kizzy baby)
Hata uwe na pesa, ujaze Bank Kuu
Ipo siku utajionea, hayana maana
Yatakupa presha, ukae roho juu
Hata uwe bilionea, faida hayana
Unajua mapenzi, ni siri
Aloyaleta ni nani amewashinda walimu, uh!
Yamevuruga wengi wenye akili
Na manguli darasani na vyeti vya kuhitimu, uuh!
Hodari wa mapenzi nani? Mnitajie
Anyooshe kidole tumwone
Maua yake tumwagie
Hodari wa mapenzi nani? Mnitajie
Apite mbele tumwone
Au wote wenzangu na mie
Penzi kiwembe
(Kiwembe, mapenzi kiwembe)
(Yameuchanachana moyo)
(Mapenzi kiwembe)
Mapenzi kiwembe
(Kiwembe, mapenzi kiwembe)
Yameuchanachana moyo
(Mapenzi kiwembe)
(Instrumental Interlude)
Hayachagui dini, kabila
Gwiji wa imani uwe padri ama sheikh, eeh!
Utakesha msikitini ila bila, ulale kanisani
Na mitishamba uoge (aah-aah!)
Ah, unaweza kuwa una mpenzi
Ukadhani mpenzi kumbe ana mpenzi wake
Akakufanyia ushenzi atie dosari penzi akimaliza shida zake (aah-aah!)
Unajua mapenzi, ni siri
Aloyaleta ni nani amewashinda walimu, uh!
Yamevuruga wengi wenye akili
Na manguli darasani na vyeti vya kuhitimu, uuh!
Hodari wa mapenzi nani? Mnitajie
Anyooshe kidole tumwone
Maua yake tumwagie
Hodari wa mapenzi nani? Mnitajie
Apite mbele tumwone
Au wote wenzangu na mie
Penzi kiwembe
(Kiwembe, mapenzi kiwembe)
Yameuchana moyo (yameuchana chana moyo)
(Mapenzi kiwembe)
Mapenzi kiwembe
(Kiwembe, mapenzi kiwembe)
Yameuchana chana (yameuchana chana moyo)
(Mapenzi kiwembe)
Aah looh!
(Wiza... kamix)
Written by: Abdull Idd
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...