クレジット

PERFORMING ARTISTS
Elani
Elani
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Elani
Elani
Composer
Brak
Brak
Songwriter

歌詞

[Verse 1]
Jana usiku, niliota ndoto
Africa nzima, kuliwaka moto
Jana usiku, niliota ndoto
Africa nzima, kuliwaka moto
[Verse 2]
Jua ilinyesha, mvua nayo ikawakaa
Manabii walitafsiri, siku hii na sio siri
[Chorus]
Kama wewe unajipenda, mikono juu mikono juu, kama umemea
Sahau shida ka umesota, leo tupige makelele
Kona to kona, tukiimba
Aah
Aah, pale
[Verse 3]
Na mi napendwa na halaiki, wananipigia-pigia mtaani (Haiyaiye)
Tumemea, hakuna fare, na tunataka hewaa
Mi napendwa na halaiki, wananipigia-pigia mtaani (Haiyaiye)
Tumemea, hakuna fare, na tunataka hewaa
[Chorus]
Kama wewe unajipenda, mikono juu mikono juu, kama umemea
Sahau shida ka umesota, leo tupige makelele
Kona to kona, tukiimba
Aah
Aah, pale
[Chorus]
Kama wewe unajipenda, mikono juu mikono juu, kama umemea
Sahau shida ka umesota, leo tupige makelele
Kona to kona, tukiimba
Aah
Aah, pale
[Bridge]
Mi nataka pale, pale, mi nataka pale, pale
Mi natakla pale, pale, pale, pale, pale, pale

Written by: Bien-aime Baraza, Bryan Chweya, Elani, Maureen Kunga, Wambui Ngugi
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...