크레딧

실연 아티스트
Mercy Masika
Mercy Masika
실연자
작곡 및 작사
Mercy Masika
Mercy Masika
작사가 겸 작곡가
Timothy Boikwa
Timothy Boikwa
작사가 겸 작곡가
프로덕션 및 엔지니어링
Timothy Boikwa
Timothy Boikwa
프로듀서

가사

[Verse 1]
Sijafikiana kwa hekima
Ila kwa neema isiyo kifani yake Bwana
Damu yake ya dhamana pale msalabani
Nikapata ukombozi, nikapata kufunguliwa
[PreChorus]
Ni Mungu asiyeshindwa na loolote (Haa)
Aliyeumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo
[Chorus]
Zaidi ninavyokujua, zaidi ninakupenda
Zaidi ninakuheshimu, zaidi ninakusifu
Zaidi ninavyokujua, zaidi ninakupenda
Zaidi ninakuheshimu, zaidi ninakusifu
[Verse 2]
Aliyekusudi ya maisha yangu
Anayekosoa makosa yangu
Anayenielekeza kando ya maji
Kando ya majani mabichi
Kwake ana vyote navyohitaji
Nikita na kiu anise uzima maji, yeye ndiye nahitaji
Yeye ndiye uzima wa jua yangu
[PreChorus]
Ni Mungu asiyeshindwa lolote (Haa)
Aliyeumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo
[Chorus]
Zaidi ninavyokujua, zaidi ninakupenda
Zaidi ninakuheshimu, zaidi ninakusifu
Zaidi ninavyokujua, zaidi ninakupenda
Zaidi ninakuheshimu, zaidi ninakusifu
[PreChorus]
Anayenipenda kwa dhatii ooh ah
Nitaimba wimbo wake milele, nitamsifu
[Chorus]
Zaidi ninavyokujua, zaidi ninakupenda
Zaidi ninakuheshimu, zaidi ninakusifu
Zaidi ninavyokujua, zaidi ninakupenda
Zaidi ninakuheshimu, zaidi ninakusifu
[Chorus]
Zaidi ninavyokujua, zaidi ninakupenda
Zaidi ninakuheshimu, zaidi ninakusifu
Zaidi ninavyokujua, zaidi ninakupenda
Zaidi ninakuheshimu, zaidi ninakusifu
Written by: Mercy Masika
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...