유사한 곡
크레딧
실연 아티스트
Guardian Angel
실연자
작곡 및 작사
Peter Audiphaxad Omwaka
송라이터
가사
Kijito cha utakaso ni damu ya Yesu
Bwana ana u-uwezo kunipa wokovu
Kijito cha utakaso ni damu ya Yesu
Bwana ana u-uwezo kunipa wokovu
Kijito cha utakaso
Nizame kuoshwa umbo
Na msifu bwana
Kwa hiyo nimepata utakaso
Kijito cha utakaso
Nizame kuoshwa umbo
Na msifu bwana
Kwa hiyo nimepata utakaso
Viumbe vina
Naona damu ina nguvu
Imeharibu uovu
Uliyotudhuru
Kijito cha utakaso
Nizame kuoshwa umbo
Na msifu bwana
Kwa hiyo nimepata utakaso
Kijito cha utakaso
Nizame kuoshwa umbo
Na msifu bwana
Kwa hiyo nimepata utakaso
Nipe wema ya ajabu
Kubwa kwa wanadamu
Na Bwana Yesu
Kumjua Yesu wa msalaba
Kijito cha utakaso
Nizame kuoshwa umbo
Na msifu bwana
Kwa hiyo nimepata utakaso
Kijito cha utakaso
Nizame kuoshwa umbo
Na msifu bwana
Kwa hiyo nimepata utakaso
Kijito cha utakaso
Nizame kuoshwa umbo
Na msifu bwana
Kwa hiyo nimepata utakaso
Kijito cha utakaso
Nizame kuoshwa umbo
Na msifu bwana
Kwa hiyo nimepata utakaso
Writer(s): Peter Audiphaxad Omwaka
Lyrics powered by www.musixmatch.com