album cover
Namba
album cover
Namba은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2022년 10월 2일일에 DJ SEVEN MUSIC WORLDWIDE에서 발매되었습니다.Greatness
앨범Greatness
2022년 10월 2일
라벨DJ SEVEN MUSIC WORLDWIDE
BPM90
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지

가사

[Verse 1]
Nimekutext mambo, umenijibu we nani?
Binti hujambo, eti namba yangu amekupa nani?
Save kwanza nipumue, nimepata kwa shida hio namba wewe
Halafu kisha ndo unijue mmh
[Chorus]
Nilikuona tu kwenye mitandao (Uo ndo ukweli mama)
Umenivutia jinsi ulivyo (Si mbaya tukifahamianaa)
Mi wananiita Imuh, AKA zuzu boy
Kila picha yako naweka tick
Si ndo yule handsome boy, picha zako na comment emoji
[Verse 2]
Na wala sikutongozi, usiwe na shaka na hilo
Shida yangu rafiki vingine situmii
[Chorus]
Ungesave namba mambo mengine yatafuata (Save namba kwanza)
Ujue nimepata shida sana kuipata (Save namba kwanza)
We save namba, save namba wewe (Save namba kwanza)
We save namba, nipumue wewe (Save namba kwanza)
[Verse 3]
Kakajibu okay, katanisave Imuh Zuzu
Si ndo nikaona magoal, eti nitaenda nae taratibu, mmh
Kufika jioni, akanitext my mambo
Tabasamu usoni, panya kanasa urimbo, weeh
[Verse 4]
Akaanza kunichanganyia mada, mara simu yake imeisha vocha
Mara ana shida ya elfu saba, halafu pia mama yake ni mgonjwa
Mara nywele zake zinawasha, nimpe hela aende kusuka
Yaani vyote anasema siku moja., yaani kama hiyo hela kaiweka mama, mama
[Verse 5]
Aa basi nimeghairi ata urafiki siutaki
Mi mwenyewe bahiri, utanidangia vipi wewe?
[Chorus]
Ungefuta namba mambo mengine yatafuata (Futa namba kwanza)
Unaleta tamaa wakati jua linawaka wa (Futa namba kwanza)
Basi we, we futa namba, futa namba wewe (Futa namba kwanza)
We futa namba nipumue wewe, wewee (Futa namba kwanza)
[Outro]
You can call me Zuzu
Written by: Salim Sadick Mutalemwa
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...