album cover
Umenipata (feat. Platform)
3,392
Hip-Hop/Rap
Umenipata (feat. Platform)은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2023년 8월 10일일에 Shetta Entertainments에서 발매되었습니다.Umenipata (feat. Platform) - Single
album cover
발매일2023년 8월 10일
라벨Shetta Entertainments
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지
BPM96

뮤직 비디오

뮤직 비디오

가사

[Verse 1]
Mtoto shepu mtoto guu, guu
Kila unapopita watu macho juu, juu
Baby ka umebeba kichuguu
Alafu chuchu ndogo kama kitungu
[Verse 2]
Yes enjoy kua na mimi maa
Mwili wako niufunike na madini maa
Safari ya angani na majini maa
Mi ndo king we ndo queen maa
[Verse 3]
Have baby by baby be billionea
Vikao vyangu mawaziri na mamea
Zinaletwa ndio wamezifeel mabelea
Matumizi beige una bills tunacompare
[Chorus]
Baby gam, baby gam
Nakila wenye sifa zako nafahamu, ufahamu
Wakujuaga chungu na tamu
Mi ningekua rais ningekuonga Dar Es Salaam
[Chorus]
Ushajua ninachotaka umenipata aah mi nakutaka taka
Kokote unapotaka mi nakufata ah umenipata-pata
Ooh umenipata pata
Ooh umenipata pata
[Verse 4]
Baba qaira
Nilivyokuona tu paah!! Macho yakapanic
Moyo ukazama ka meli ya titanic
Nishakulenga na jiwe gizani
Kukupenda nakupenda kukuacha sidhani, ah
[Verse 5]
Mamy mi ni bilionea nifirisi hadi nirudi kwenye umillionea
Tafuta kibenten ukionge ila nikikifuma aisee husiombee
Unawadatisha-datisha nazako calendar
Husiwakubali chill nami Shetta nakupenda
Washamba fulan ndo wanadiss kwa chat nawe
Ndo mama yao atakama hawataki
Okay it's ok baby husiondoke
Vyote it's ok ntakupa lolote
[Verse 6]
Wakujuaga chungu na tamu
Mi ningekua rais ningekuonga Dar Es Salaam
[Chorus]
Ushajua ninachotaka umenipata aah mi nakutaka-taka
Kokote unapotaka mi nakufata ah umenipata-pata
Ooh umenipata-pata
Ooh umenipata-pata
[Outro]
Kama gari lishawaka umeniwashaa
Gari umeliwashaa
Arosto arostoo lishawakaa
Gari umeliwashaa
Kama gari unaniwasha nishawaka
Gari umeliwashaa
Arosto arostoo lishawakaa
Gari umeliwashaa
[Outro]
Ooh
Ooh
Ooh
Ooh
Ooh
Umenipata-pata
Written by: Nurdin Ally Bilali
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...