뮤직 비디오

뮤직 비디오

크레딧

실연 아티스트
Centano
Centano
실연자
작곡 및 작사
Innocent Omary
Innocent Omary
작사가 겸 작곡가
프로덕션 및 엔지니어링
Centano
Centano
프로듀서

가사

Japo mbele giza
ila siachi kupambana
Naamini kesho nitapata
Kesho Itaongea
Sisubiri Muujiza
wala siachi kupambana
Naamini kesho nitapata
Kesho Itaongea
Kesho Kesho Itaongea
Kesho Kesho Itaongea
Kesho Kesho Itaongea
Maisha safari
hakuna aliyekuja na siti
Utatoswa na ndugu
utabebwa na marafiki
Maisha yamejaa usaliti
Maisha hayatabiriki
Tumeshapeta sana Kilo ya mchele
na bado tukala ugali
Mboga ya maana kwetu matembele
na hatukusahau kusali
Kupoteza sihofii
Mi nimezaliwa kuhustle
Sikubali kufa maskini
Lazima nimwage jasho
Kupoteza sihofii
Mi nimezaliwa kuhustle
Sikubali kufa maskini
Lazima nimwage jasho
Japo mbele giza
ila siachi kupambana
Naamini kesho nitapata
Kesho Itaongea
Sisubiri Muujiza
wala siachi kupambana
Naamini kesho nitapata
Kesho Itaongea
Kesho Kesho Itaongea
Kesho Kesho Itaongea
Kesho Kesho Itaongea
Umaskini ndo umefanya
Tufanye tusiyopenda
Umaskini ndo umefanya
Tukose tulowapenda
Umaskini ndo umefanya
Tuishi tusipopenda aah
Umaskini ndo umefanya
Maisha kutokwenda aah
aaah
Mi ndo maana sitaki sifa
kwenye ligi ya mapenzi
natafuta hela aah
natafuta hela
Ukinipenda usinitoe kwenye mood
Maana sitaki stress
natafuta hela aah
natafuta hela
Tumeshapeta sana Kilo ya mchele
na bado tukala ugali
Mboga ya maana kwetu matembele
na hatukusahau kusali
Kupoteza sihofii
Mi nimezaliwa kuhustle
Sikubali kufa maskini
Lazima nimwage jasho
Kupoteza sihofii
Mi nimezaliwa kuhustle
Sikubali kufa maskini
Lazima nimwage jasho
Japo mbele giza
ila siachi kupambana
Naamini kesho nitapata
Kesho Itaongea
Sisubiri Muujiza
wala siachi kupambana
Naamini kesho nitapata
Kesho Itaongea
Kesho Kesho Itaongea
Kesho Kesho Itaongea
Kesho Kesho Itaongea
Written by: Innocent Omary
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...