Songteksten

[Chorus]
Utukufu na heshima Bwana, ni zako Yahweh
Ni zako usiyeshindwa
Utukufu na heshima Bwana, ni zako Yahweh
Ni zako usiyeshindwa
[Verse 1]
Wewe uliyenihesabia haki
Kwa neema yako
Ni zako usiyeshindwa
Mnara wa utukufu na kinga yangu
Ni wewe Bwana usiyeshindwa, Bwana
[Chorus]
Utukufu na heshima Bwana, ni zako Yahweh
Ni zako usiyeshindwa
[Verse 2]
Haki yako Bwana yanitangulia
Utukufu wako wanifwata
Ni wewe usiyeshindwa
Ninayemtegemea ni wewe
Ngao yangu ni wewe
Ni wewe usiyeshindwa, Yesu
[Chorus]
Utukufu na heshima Bwana, ni zako Yahweh
Ni zako usiyeshindwa
Utukufu na heshima Bwana, ni zako Yahweh
Ni zako usiyeshindwa
[Verse 3]
Uliyenichagua ni wewe
Uzima wangu ni wewe
Ni wewe usiyeshindwa
Anilindaye na mabaya ni wewe
Ni wewe Bwanaa, ni wewe Bwana usiyeshindwa
[Chorus]
Utukufu na heshima Bwana, ni zako Yahweh
Ni zako usiyeshindwa
Utukufu na heshima Bwana, ni zako Yahweh
Ni zako usiyeshindwa
[Verse 4]
Mamlaka yote hapa duniani
Na kule binguni
Ni yako usiyeshindwa
[Chorus]
Utukufu na heshima Bwana, ni zako Yahweh
Ni zako usiyeshindwa
Utukufu na heshima Bwana, ni zako Yahweh
Ni zako usiyeshindwa
Written by: Ali Mukhwana
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...