Songteksten
Hapo mwanzo Mungu alimwumba adam
Bustani ya edeni aitunze
Baadae Mungu aliona sio vyema
Adam awe pekeyake akampa mke mwema
Apo mwanzoo (ooooooh)
(Mke mwemaaa)mke mweema
(Mke mwema)anatoka kwa bwana
(Aaaaah)nimemwomba Mungu nangojea
(Mke mwemaa)mke mweema
(Mke mwema)anatoka kwa bwana
(Haleluya)nimemwomba Mungu nangojea mke mwema aah
Writer(s): Boniphace Mwaitege
Lyrics powered by www.musixmatch.com