album cover
Morale
5253
World
Utwór Morale został wydany 8 stycznia 2016 przez Pili Pili Music jako część albumu Fungua Mlango
album cover
Najpopularniejszy
Ostatnie 7 dni
00:05 - 00:10
Morale był najczęściej odkrywanym utworem w czasie około 5 sekundy do w ciągu ostatniego tygodnia
00:00
00:05
00:10
00:20
02:10
00:00
03:29

Teledysk

Teledysk

Tekst Utworu

[Chorus]
Nina morale, sista si usare
Nina morale, wacha katambe
Nina morale, uisinihande
Nina morale, wacha katambe
[Verse 1]
Kejani nikicheki soccer na mabeste
Kati ya Arsenal na Manchester
Kwa tenje ngoma zikibamba ah
Marabu reggae funki na magenge
[Verse 2]
Basi kwa mlango kasikia wembhe
Kufungulia dame wangu tamtam
Cover vipoa kupigwa mahamham
Za kumdai hizo vitu tamtam
[Verse 3]
Vipi mama unanibamba
Na mavitu tamtatam hebu kamkam
Nina mahamham ya kuzinyamnyam
Ukinipazamzazam nitazinyamnyam
[Chorus]
Nina morale, sista si usare
Nina morale, wacha katambe
Nina morale, usinihande
Nina morale, wacha katambe
[Chorus]
Nina morale, sista si usare
Nina morale, wacha katambe
Nina morale, usinihande
Nina morale, wacha katambe
[Verse 4]
Tangu hii sista umemea mapembe
Unanibeba fala malenge
Nikikudai, sista usinilenge
Nina morale, wacha nikulambe
[Verse 5]
Mimi na wewe tu-tupendane
Tusihanye, mdudu usitupate
Songa karibu, sista usijigambe
Zitoe zote dada katambe
[PreChorus]
Vipi mama unanibamba
Na mavitu tamtatam hebu kamkam
Nina mahamham ya kuzinyamnyam
Ukinipazamzazam nitazinyamnyam
[Chorus]
Nina morale, sista si usare
Nina morale, wacha katambe
Nina morale, usinihande
Nina morale, wacha katambe
[Chorus]
Nina morale, sista si usare
Nina morale, wacha katambe
Nina morale, usinihande
Nina morale, wacha katambe
[Verse 6]
Acha zako kam hapa kam haraka nikuhande
Acha nare utamaliza hii kwani
Songa hiyo mgongo niikande
Ununue mafuta nikupake kila upande
Kama hutaki basi mi pia mi sikutaki
Man U ama Arsenal bado bao hazihati
Fanya haraka toa mpira kwenye kabati
Morale ikifika jua hauna bahati
[Chorus]
Nina morale, nina morale
Nina morale, wacha katambe
Nina morale, nina morale
Nina morale, wacha katambe
[Outro]
Si usare, eeh, eeh
Si usare, eeh
Si usaree
Written by: Peter Gatonye Ngugi, Pili Pili
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...