album cover
Doorstep
album cover
Utwór Doorstep został wydany 20 kwietnia 2022 przez Sol Generation Records jako część albumu Doorstep - Single
20 kwietnia 2022
WytwórniaSol Generation Records
JęzykEnglish
BPM
Melodyjność
Akustyczność
Valence
Taneczność
Energia

Tekst Utworu

[Verse 1]
Hey lovely umekuja na nani
Ju nimenoki vile unacheka so bubbly
Nipe mechi ata tupige ka friendly
One time nikuonyeshe mapenzi
But your aunty aunty hapendi wanati
Kwanza akiniona anaonanga bhangi
Ata baba yako amenishika mashati
Ila naomba wewe unipe nafasi
The good times are calling
Why you ignoring
Don’t say you’re boring
And my heart is ready for you
Fun times are calling
I should be loving you
If I hurt you I’m sorry
But tonight I came here for you
[Chorus]
I’m at your doorstep
Niko mavela na zimenishow ni wewe
Nitabisha hadi baba yako atoke
Ju sitoki hapa mpaka wewe utoke yeah yeah
At your doorstep
Niko vela na zimenishow ni wewe
Nitabisha hadi baba yako atoke
Ju sitoki hapa mpaka wewe utoke yeah yeah
[Verse 2]
Nashika pen na paper na
Siko ketepa si nikuzitoka
Ni ka tuko mboka
Mi hupendanga mawhisky wengine mavodka
Kuna wasee hupenda miti wengine mogoka eh
Na si maajabu ukiregeza unatokwa
Msupa leo ni twingi ka uko chini unakopa
Look safi ni ka nimekuja na chopper
Mi hukata na mapanga roundi ingine na shoka cheki
Rada safi kwanza nikiwa na Nike
A.k.a ni Jose , Mary ndio hukuwanga me Wifey
Ye ndio manzi hufanyanga nifanye vitu sitaki
Nisha jiripot kuwakilisha jistaki
Na taki ya kumshikia kwa maji ka samaki
Ni uff ni punguze wasiwasi
Ibaki niaje kunanukia nananasi
Ama ni nani amenikulisha nanasi
[Chorus]
I’m at your doorstep
Niko mavela na zimenishow ni wewe
Nitabisha hadi baba yako atoke
Ju sitoki hapa mpaka wewe utoke yeah yeah
At your doorstep
Niko vela na zimenishow ni wewe
Nitabisha hadi baba yako atoke
Ju sitoki hapa mpaka wewe utoke yeah yeah
[Outro]
Zimenishika na zimenishow ni wewe
Juu sitoki hapa mpaka we utoke yeah yeah
Mama mama mama mama mama
Zimenishika na zimenishow ni wewe
Ju sitoki hapa mpaka we utoke yeah yeah
Written by: Bensoul, Mutoriah
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...