Tekst Utworu

Mapito, ooh Mapito, eh Mapito, eh Mapito Kweli mapito, eh Mapito kwa mjane anaponyang'anywa mali, eh Mapito kwa wanandoa wanapofarakana Mapito kwa wasomi wanapofukuzwa kazi, eh Mapito kwa wachumba wanapodanganyana Duniani kuna mapito, oh Ambayo kweli mwanadamu anapitia Kweli mapito, oh, yanakatisha tamaa Kweli mapito yanavunja moyo Duniani, eh, kuna mapito, oh Ambayo ni kweli mwanadamu anapitia Kweli mapito, oh, yanakatisha tamaa Kweli mapito, mama, yanavunja moyo Haijalishi wewe mapito yako, oh Wewe ni mjane mama, wamekunyang'anya mali Jibu sio kulaumu, mwamini Yesu, oh Yeye aliyekupa mali airekebishe Haijalishi mama mapito yako, oh Wewe ni mjane eh, wanakunyang'anya mali Jibu sio kulaumu, mwamini Yesu, oh Yeye ndiye jibu lako, akusaidie, ha Vumilia, vumilia mama Vumilia, tena muombe Mungu Vumilia, vumilia mama Vumilia, huku ukimwomba Mungu Inakupasa uvumilie mama Inakupasa uvumilie mjane, yeh Yawezekana baba mapito yako, oh Iyo ndoa yako inakusumbua Yawezekana mama mapito yako, oh Iyo ndoa yako inakusumbua Jibu sio talaka mama mwamini Yesu, oh Yeye aliekupa ndoa airekebishe, eh Yawezekana baba mapito yako, oh Iyo ndoa yako inakusumbua Yawezekana mama mapito yako, oh Iyo ndoa yako inakusumbua Jibu sio haki sawa mwamini Yesu, oh Yeye aliekupa ndoa airekebishe, eh Vumilia, vumilia baba Vumilia, vumilia mama Vumilia, vumilia baba Vumilia, vumilia mama Inakupasa uvumilie mama Inakupasa uvumilie, eh-eh Inakupasa uvumilie, eh-eh, aah Yawezekana baba mapito yako, oh Ni maisha magumu, eh, yanakusumbua Jibu sio kujiua, mwamini Yesu, oh Yeye mtuliza bahari, ayarekebishe, eh Yawezekana mama mapito yako, oh Ni maisha magumu, eh, yanakusumbua Usikate tamaa, mwamini Yesu, eh Yeye ndie jibu lako, atarekebisha Mwamini Yesu, mwamini Yesu baba Jibu lipo, jibu lipo mama Mwamini Yesu, mwamini Yesu baba Jibu lipo, jibu lipo baba Inakupasa umwombe Mungu, eh-eh Inakupasa umwombe Mungu, eh-eh Mwombe Mungu, mwombe Mungu Haijalishi kaka, mapito yako, oh Ni huyo mchumba, ah, amekudanganya Yawezekana dada, mapito yako Ni huyo mchumba, ah, amekurubuni Usikate tamaa, mwamini Yesu, eh Kumbuka mme mwema hutoka kwa Mungu Usikate tamaa, mwamini Yesu, oh Kumbuka mke mwema hutoka kwa Mungu Acha tamaa, wewe muombe Mungu Acha tamaa, wewe muombe Mungu Vumilia huku ukimwomba Mungu, eh Vumilia huku ukimwomba Mungu Inakupasa uvumile kaka Inakupasa uvumile dada Vumilia, tena umwombe Mungu Vumilia, tena umwombe Mungu Inakupasa uvumile kaka Inakupasa uvumile dada, ah Vumilia, vumilia baba Vumilia, vumilia mama Inakupasa uvumilie, eh-eh Inakupasa uvumilie, eh-eh Vumilia, vumilia kaka Vumilia, vumilia dada Inakupasa uvumilie, eh-eh Inakupasa uvumilie, eh-eh, aah
Writer(s): Kelvin Kioko Bahati Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out