Letra

S2Kizzy Baby Moyo kwako umekaa-kaa-kaa oweoh Kila ukidunda paa-paa-paa oweoh We ndo naekuwazaga-ga-ga oweoh Waniwezaga oweoh Usifanye njia kwamba umenipitia,utaniumiza dear Nami mwanadamu mwenye moyo na majonzi pia Si unasikia,kulialia ndo nnachokihofia Kama ushanigonga basi nionee huruma,usiongeze gear Oh nanana Uwepo wako mi mwenzako naenjoy Oh nana Yani kwako nyang'anyang'a nipo hoi Oh nanana Mi kwako sisemi,sikohoi Oh nanana Si unajua moyo Moyo wangu kwako umekaa-kaa-kaaa oweoh Kila ukidunda paa-paa-paa oweoh We ndo naekuwazaga-ga-ga oweoh Waniwezaga Ah you dey make me sing Baby Ah Aaaah Aaaaaah Aaah Aaaah Aaaaaah Baby Ah Aaaah Aaaaaah Aaaah Aaaaah Baby you dey make me sing Aaaah Oohh Aaah Yani mpaka ladha zao za zamani nimesahau Mesahau Sura zao za zamani nasahau Nasahau Maana nikisikia kuhusu upendo Nakuwaza wewe tu mahabuba Na,nikitakaga upendo Nawaza lako tu,huba Na tukikwenda kwenye tendo Unanifikishaga mpaka Cuba Unakabaga uachi pengo Si unajua moyo Moyo wangu kwako umekaa-kaa-kaaa oweoh Kila ukidunda paa-paa-paa oweoh We ndo naekuwazaga-ga-ga oweoh Waniwezaga Ah you dey make me sing Baby Ah Aaaah Aaaaaah Aaah Aaaah Aaaaaah Baby Ah Aaaah Aaaaaah Aaaah Aaaaah Ona naimba Baby you dey make me sing
Writer(s): Marioo, Salmin Kasimu Maengo, Sweetbert Charles Mwinula Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out