Créditos
PERFORMING ARTISTS
Kash Kaaria
Performer
Edward's Ethan Okoth
Bass Guitar
Mukami Gitonga
Lead Vocals
Rosebell Achieng
Background Vocals
Felix Kubo
Bass Guitar
COMPOSITION & LYRICS
Kenneth Kabogo
Songwriter
Mukami Gitonga
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mutoria Mwaura
Producer
Jay Mukhasa
Mastering Engineer
Mukami Gitonga
Vocal Recording Engineer
Letra
Aaaah
Naona kama mnataka love
Naona kama mnataka more
Na bado mnataka kunikausha mimi
Hapo ndipo nitasema no!
Story ni ngori na mimi sina worry
Sativa kapiga napaa
Angani nafika pangani napita
Na ngara naona si far
Kashflow, kashflow vile inafaa
Hopless, I'll give my heart until I love less
Focus, baby darling can't you focus
Juu, naona ona ona far
Naona ona ona far
Naona ona ona far
Naona hata nikiimba Jazz
Kiasi pia rhumba ikinijaz
Bado nitamurder hiyo flow juu
Sauti ni ngori na mi sina worry
Na sifa kwa Messiah
Hapa ni mbogi na mbogi ni mbwaya
Mtoto wa saika haswa
Kashflow, kashflow, vile inafaa
Hopless, I'll give my heart until I love less
Focus, baby darling can't you focus
Juu, naona ona ona far
Naona ona ona far
Naona ona ona far
Lakini saa zingine
Watu wengine wananishangazanga
Hicho kidame kinaweza kukuja hapa
Na hiyo perfume yake inanuka hivyo
Imagine waah
Waah amekuwa akifanya squats
Nilijua tu namuonanga asubuhi
Akienda gym
Eish haka kadame kanatesaaa
Eeh kwanza hizo mangoma zake
Umeziskia
Kami I bless you
Unaendelea aje
Uko poa
Messiah
Hopeless
Naona ona ona far
Naona ona ona far
Naona na ona far
Naona ona ona far
Naona ona ona far
Naona ona ona far
Juu ninakoenda ni far
Writer(s): Kenneth Kabogo, Mukami Gitonga
Lyrics powered by www.musixmatch.com