Letra

(Fame ni tamu) (Fame ni tamu) Yeah yeah Yeah Uh Mwaka mzima hakuna show Sa unatakaje Ka ki cookie rent haishuki Na mi ni mzazi vitu sihitaji zinafeel stupid So sikupi mziki huhitaji Kwa ufupi chini si stoop mimi niko juu vile huwezi imagine Watu wanataka hope Niitoe wapi Mi mwenyewe nashangaa hii rona joh kutaendaje Vitu ka mng'aro kwanza nishatoa kwa budget Sijali kwa gram hizo mapicha zinatokaje Madeni za masupplier Groanments za wanagwaya Pia mi naomba nipeni chance ka KEMSA hawana haya Ulimjudge sa unamuita mentor ju kuna pesa kwa umalaya Shingo inameremeta anakaa influencer wa mawaya Mi huwa na simu Ukiniita bash nakuja na team Na look inaclash na sura ya ndim Na watu natrust ndio watu naheshimu Ka kuna cash ndio nashika simu Ka niko works nakuwanga machine Nalipa tax na nalipa bill Ndio maana ni black alafu iyasin Hao mayoungin' wananeed mentorship More than wananeed censorship Kwa street mi ni evangelist Wanaserve tea mi naserve confidence Success si by accident Na usifocusie past events Na rule book jua tu must ibend The good book said don't judge me man Kwa top three mi ni number one to three Of course hii city iko na love for me Naapproach hii kitu kama destiny Masoftie ndio huwanga walaoud vizii Ka hunioni ata mi sikuoni But haifiki jioni ka huniskii radioni mi ni ka news We ata na miwani ata na binoculars Bado mi sikuoni Paid my dues My lifestyle choices ni headline news Hufai kuwa unajam nikiheadline shows Grown ass men complain like hoes Kusign wasanii haina deadline bro Yup I'll do it when I do it (when I do it) Mwaka mzima hakuna show (acha tuziashe) Acha tuziashe (acha tuziashe) Kilimanjaro tu ndio itapita hii highness (yeah yeah) Ama collabo kati ya mi na South C's finest (R.I.P) Ata kwa mtaro utanipata na designer (Acha tuziashe) (Kilimanjaro ndio itapita hii highness) (For my people I do whatever it takes)
Writer(s): Nyamari Ongegu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out