album cover
Brayo
album cover
Brayo foi lançado em 20 de fevereiro de 2026 por Black Market Records como parte do álbum Brayo - Single
20 de fevereiro de 2026
EditoraBlack Market Records
BPM104
Melodicidade
Acústica
Valência
Dançabilidade
Energia

Vídeo de música

Vídeo de música

Letra

Black Market Records
Wala salata!
Vile nampenda kabrayo, brayo
Nampenda kabrayo siwezi kamuacha
Vile namuwaza brayo, brayo
Namuwaza brayo siwezi kamuacha
Yahudunga matofa, salamu ni za top shota
Taani wanamuogopa, sura na akili imeomoka
Sema mimi ni diva lakini napenda ma silver
Kijana meiva, nafanya nashikwa na fever
Ananidanganya na najua
Wanasema ataniua
Mapenzi siwezi kachagua
Wakiuliza sema nijua
Vile nampenda kabrayo, brayo
Nampenda kabrayo siwezi kamuacha
Vile namuwaza brayo, brayo
Namuwaza brayo siwezi kamuacha
Type yangu, yendo type yangu
Kinishika ata kushanda type yangu
Type yangu, yendo type yangu
Ataniua akijipanga, sahii tunajibamba
Ananidanganya na najua
Wanasema ataniua
Mapenzi siwezi kachagua
Wakiuliza sema nijua
Vile nampenda kabrayo, brayo
Nampenda kabrayo siwezi kamuacha
Vile namuwaza brayo, brayo
Namuwaza brayo siwezi kamuacha
Written by: Nancy Njeri
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...