Видео

В составе

Создатели

ИСПОЛНИТЕЛИ
MABANTU
MABANTU
Исполнитель
МУЗЫКА И СЛОВА
Twarha Kanengo
Twarha Kanengo
Автор песен
Mwarami kajonje
Mwarami kajonje
Автор песен
Omary Mwanga
Omary Mwanga
Автор песен
ПРОДЮСЕРЫ И ЗВУКОРЕЖИССЕРЫ
Gachi B
Gachi B
Продюсер

Слова

Leoooo Mungu ameniona ameniona Leoooo Mungu ameniona ameniona Jaza table gonga glass leo mambo yote mneso (amina) Mungu amekata minyororo ya mateso (amina) Mvua jua vilitupiga na hatukua na leso (amina) Ila tuliishi kwa imani tukiamini kesho (amina) Ukiona yanazidi sana majaribu basi ku succeed kukaribu Nilianguka nikainuka tena nikajaribu Nikasema ipo siku mungu atanijibu Leoooo Mungu ameniona ameniona Leoooo Mungu ameniona ameniona Shiiii!!! Nilikua single ila leo niko na bebe (amina) Nilishalizwaga sana mpaka chozi nikajaza debe (amina) Tena nabembelezwa nadekezwa dede (amina) Hatimae leo tumewakata ngebe (amina) Wakiletaleta mapepo (fire) Wakitaka tuachane (fire) Vinenoneno vya chuki Tukiachana mutuite mbwa tumekaa pale Leoooo Mungu ameniona ameniona Leoooo Mungu ameniona ameniona Yow!! Leo natumia coz jana niliseto (amina) Ile kupanda kushuka leo nami ninageto (amina) Dharhau masimango tulishinda mateso (amina) Tuishi kwa imani na tuamini kesho (amina) God when say yes nobody can say no Can say no Mungu akisema inawezekana nani wakupinga wakupinga? Wakupinga Leoooo Mungu ameniona ameniona Leoooo Mungu ameniona ameniona
Writer(s): Benjamin Paul Mwenda, Omary Ally Mwanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out